Kununua gari toka Zanzibar kuja bara

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
Nahitaji kununua gari toka Zanzibar na kulileta Bara. Naomba mwenye kujua anisaidie utaratibu wa kodi na usajili. Je, ni process zile zile kama za kuimport toka Japan?
Nawasilisha
 
nakupa ushauri tata
nunua lililosajiliwa z...
halafu leta bara...tumia miezi miwili...rudi nalo zenji...halafu njoo nalo tena fanya hivyo...hivyo mpaka lichakae.......
 
Nahitaji kununua gari toka Zanzibar na kulileta Bara. Naomba mwenye kujua anisaidie utaratibu wa kodi na usajili. Je, ni process zile zile kama za kuimport toka Japan?
Nawasilisha

Anza Kwanza Kumuulizia Seif Shariff Hamad Kama Ule Mpango Wake Wa Kuyauza Magari Yake Yote Na Kukimbilia Oman au Iran au Saud Arabia Umefikia Wapi. Kuhusu Kodi Yake Inategemeana Na Jinsi Mawimbi Ya Bahari Yatakavyokuwa Siku Hiyo Likivushwa. Kama Bahari Ikichafuka Bei Inakuwa Juu Na Kama Bahari Ikitulia Bei Inashuka. Kususu Kusajili Uwepesi Wake Utategemeana Na Mlengo Wa Kisiasa Wa Aliyekuuzia Kama Akiwa Ni Wa CCM Utapewa Usajili Wa Uhakika Na Wa Haraka Ila Kama Ulipewa Na Mwana CUF Itabidi Kwanza Usubirie Tuweze Kulifanyia Uchunguzi Huku Tukitegemea Taarifa Zake Za Kiintelijensia. Process Za Ku Import Ni Zile Zile Kama Za Japan Ila Kwa Sasa Likifika Tu Bandarini Dar Halitakaa Geti Namba Tano.
 
Back
Top Bottom