Nauza Dhahabu

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
Nawasalimu!
Nina mgodi, nahitaji kuuza madini nchi za nje japo sijawahi na sijui bei zake. Naomba mwwnye kujua anisaidie kujua bei ya gram moja ya dhahabu ni dola ngapi???
Natanguliza shukrani
 
Kijana mwenye mgodi hiyo ndo shughuli yangu kubwa...
Una dhahabu kilo ngapi kijana,?
 
jamaa anamiliki mgosi lakini hajui bei wala wapi pakuyauza.


swissme
 
NYUMBA HII HAIUZWI
0766 373 2..

OGOPA SANA HAO NDO HABARI YA MJIN
 
Nawasalimu!
Nina mgodi, nahitaji kuuza madini nchi za nje japo sijawahi na sijui bei zake. Naomba mwwnye kujua anisaidie kujua bei ya gram moja ya dhahabu ni dola ngapi???
Natanguliza shukrani

Ingawa naweza kukuelekeza ila naisi ni kama unataka kujiingiza kwenye utapeli......
Kama ya kuuza nje lazima upate certificate sahihi ya kufanya ivo ila kama una MINING LICENCE PIA INAWEZA KUKUSAIDIA KUUZA NJE.

TMAA WANATOA BEI ELEKEZI..PIA NAAMINI KAMA UMEWEZA KUANDIKA JF UNAWEZA KUJUA UPDATE PRICE YA KILA SIKU KUPITIA NET...

Mwisho...
www.tmgof.or.tz
ndo sehemu sahihi kwako ya kupata elimu yote hii
 
Back
Top Bottom