CRDB ni tawi gani hufanya kazi siku za sikukuu?

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
156
Nawasalimu wadau!

Naomba mwenye kujua ni tawi gani la CRDB ambalo linafanya kazi hata leo siku ya sikukuu ya mapinduzi.

Nauliza kwa hapa Dar es Salaam tu.
 
Last edited by a moderator:
Kibo Complex - Tegeta Kibaoni..Ogopa sana Mlimani City kama unaenda bulk cash utarudi na uzi wa majanga!!
 
Back
Top Bottom