Search results

  1. daniel don

    Didier Kavumbagu atua Yanga rasmi akabidhiwa jezi no.21 tayari kwa mauaji!

    Yule mchezaji mrefu na mwenye uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu, DIDIER KAVUMBAGU ametambulishwa rasmi na kukaribishwa kwa wana jangwani tayari kuungana na akina Kiiza na Bahanuzi katika safu ya Ushambuliaji. Kwa mtaji huu sidhani kama atachomoka mtu safari hii..Wana Yanga mjiandae kula raha...
  2. daniel don

    Tumbo kujaa gesi kila baada kula ni ugonjwa au ni hali ya mtu mwenyewe?

    Mdogo wangu anapokula na kushiba tumbo lake hujaa gesi ila hapati matatizo yoyote zaidi ya kubeua mara kwa mara na wakati mwingine hulazimika kula kidogo zaidi ili asipate hiyo gesi tumboni.. Wasi wasi wangu lisije likawa tatizo kubwa. Inapomtokea hali hiyo hutumia vidonge vya Magnesium..kiasi...
  3. daniel don

    Kumbe Ngassa ni Yanga damu!

    Katika kudhihirisha kama alikwenda Azam kimakosa kijana huyo mwenye kasi mithili ya B52, Mrisho Khalfan Ngassa katika mechi mbili za mwisho aliweza kuonyesha mapenzi ya dhati kwa mashabiki wa Yanga kwa kushangilia goli huku akiwapungia mikono mashabiki wa Yanga badala ya Azam na kutupiwa jezi...
  4. daniel don

    Simba mjipange msije mkashuka daraja msimu ujao wa ligi kuu ya Vodacom!

    Katika mwaka ambao Simba wamelamba galasa ktk usajili wa wachezaji wapya ni mwaka huu 2012. Mchezo ulioonyeshwa na watani ktk kombe la Kagame ni wa kiwango cha chini mno hata hivyo sijui waliingiaje hatua ya robo fainali na timu mbovu kiasi kile niliitamani sana Simba ikutane na Yanga...
  5. daniel don

    Mtangazaji maarufu wa duru za michezo afariki dunia!

    :spy:Mtangazaji maarufu wa kipindi cha duru za michezo Wapo radio Fm Joseph Mapunda amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi ktk hospitali ya Temeke Juzi. hiyo ni kwa mujibu wa matangazo ya Wapo Radio Fm na mdogo wa Marehemu..Mungu awafariji ndugu wa marehemu pamoja na wafanyakazi wote...
  6. daniel don

    Ni Watanzania wangapi wanaifahamu Katiba ya Tanzania kabla ya kufanyiwa marekebisho?

    :yawn:Katika ufahamu wangu wa kawaida nilionao sina uhakika kama watanzania wenye uwezo wa kujua na kufafanua katiba yao wanaweza kufika 50% sasa iweje kuwepo kwa mchakato wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu uundwaji au marekebisho ya katiba mpya? Nimekuwa nikisikia leo wapo hapa kesho...
  7. daniel don

    Simba, Yanga na Azam zitavuna kwa kile walichopanda!

    Timu zetu zinazoshiriki michuano ya Kagame simba, Yanga na Azam bado zimeshindwa kutuonyesha kama zilikuwa kwenye Maandalizi ya kutosha ya michuano mikubwa ya Afrika Mashariki na Kati na badala yake wageni ndio wanaone kana kujiandaa vilivyo kana kwamba ni wenyeji..Siku zote watu huvuna kile...
  8. daniel don

    Yanga yaichabanga jkt ruvu 2-0 taifa leo!!!!

    Yanga imeonyesha kile kilichotarajiwa:israel: na wengi baada ya kuichapa JKT Ruvu mabao 2-0, magoli yaliyofungwa na Cannavaro na Khamis Kiiza.
Back
Top Bottom