Yanga yaichabanga jkt ruvu 2-0 taifa leo!!!!

daniel don

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
43
Reaction score
3
Yanga imeonyesha kile kilichotarajiwa:israel: na wengi baada ya kuichapa JKT Ruvu mabao 2-0, magoli yaliyofungwa na Cannavaro na Khamis Kiiza.
 
Duuuu beki kuja kusaidia mashambulizi na kufunga maana yake nini??safu ushambuliaji haielewewani au bahati tu ya piga nikupige??bongo footbal safi sana!mngeomba na azam pia inakuza kiwango na kujua kweli mmesajili vizuri?
 
Kwel mkubwa?
 
manake ni kwamba upande wa maadui katika ushambuliaji ni dhaifu ndo mana beki anapata nafasi ya kupanda na kushambuli
 
Mmewanyang'anya Frank Domayo na Said Bahunuzi halafu unategemea washinde? Hio ilikuwa inajulikana mngeshinda tu kwa hiyo sio habari.
 
Point of correction, Said Bahanuzi hajatokea JKT Ruvu,ametokea Mtibwa Sugar.
 
...hawa bana, utafikiri wameifunga Livafool, sasa mmeshaanza kutamba tena ??
 
nda na kushambuli[/QUOTE]
Perfect answer!
 
Back
Top Bottom