Simba, Yanga na Azam zitavuna kwa kile walichopanda! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba, Yanga na Azam zitavuna kwa kile walichopanda!

Discussion in 'Sports' started by daniel don, Jul 16, 2012.

 1. daniel don

  daniel don Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Timu zetu zinazoshiriki michuano ya Kagame simba, Yanga na Azam bado zimeshindwa kutuonyesha kama zilikuwa
  kwenye Maandalizi ya kutosha ya michuano mikubwa ya Afrika Mashariki na Kati na badala yake wageni ndio wanaone
  kana kujiandaa vilivyo kana kwamba ni wenyeji..Siku zote watu huvuna kile wanachopanda, Tunazitakia kila heri timu zetu ziweze kubakisha kombe nyumbani.
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,792
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  wamezoea kununua ubingwa wakienda international inakuwaga aibu... tusubiri labda mechi zinazofuata watanunua marefa
   
 3. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mi nilikuwa na imani sana na Washindi wetu wa kwanza na wa pili wa Kombe la ujirani mwema,ksbb walikuwa wameyatumia mashindano yale kama sehemu ya maandalizi ya hii michuano ya Kagame,kumbe 0 kabisa
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Lamba lamba nae alikamatwa?Duu hatari.
   
 5. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mpira wa magazetini ndio athalri zake c tunaona mpira wa england.
   
Loading...