Didier Kavumbagu atua Yanga rasmi akabidhiwa jezi no.21 tayari kwa mauaji!

daniel don

Member
Jun 28, 2012
43
3
Yule mchezaji mrefu na mwenye uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu, DIDIER KAVUMBAGU ametambulishwa rasmi na kukaribishwa kwa wana jangwani tayari kuungana na akina Kiiza na Bahanuzi katika safu ya Ushambuliaji. Kwa mtaji huu sidhani kama atachomoka mtu safari hii..Wana Yanga mjiandae kula raha kama nilivyosema mjiandae kupokea kombe la Kagame.:rant:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom