Mtangazaji maarufu wa duru za michezo afariki dunia!

Mtangazaji maarufu wa duru za michezo afariki dunia!

daniel don

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
43
Reaction score
3
:spy:Mtangazaji maarufu wa kipindi cha duru za michezo Wapo radio Fm Joseph Mapunda amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi ktk hospitali ya Temeke Juzi. hiyo ni kwa mujibu wa matangazo ya Wapo Radio Fm na mdogo wa Marehemu..Mungu awafariji ndugu wa marehemu pamoja na wafanyakazi wote wa Radio hiyo. Bwana alitoa na bwana ametwaa...jina lake lihimidiwe!
 
Back
Top Bottom