Search results

  1. BabaH

    Nyumba inapangiswa Kijichi Mgeninani

    Hallow ndugu, nyumba inapangishwa tuwasiliane kwa namba hiyo
  2. BabaH

    Namba za simu za wafuatao plz

    naomba nambaza simu ya wafuatao Viongozi wa barabarani kuanzia Taifa
  3. BabaH

    Mh Tibaijuka Mapori haya mpaka lini?

    Ninawasalimia wana JF
  4. BabaH

    Mwenye kujua nini kinaulizwa kwenye usaili wa mchujo na jamaa wa tume ya ajira

    Ndugu zangu, nimesota sana, sasa nimeitwa na jamaa wa ajira kwa ajiri interview, sala zenu muhimu sana
  5. BabaH

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Huyu President vipi jamani mbona hanatuchosha hivi jamani
  6. BabaH

    Doctors tukutana hapa JF kama DonBosco, Starlight haiwezekani

    Hallow Doctors Chapeni kazi ili kuisaidia Nchi yetu jamani
  7. BabaH

    Elections 2010 Masha adondoshwa Jimbo la Nyamagana; Wenje (Chadema) ashinda

    Jamani, nchi tumeshaichukua jamani ukombozi huuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuoooooooooooooooooooooooo
  8. BabaH

    Simwelewi sheikh huyu!

    Poor thinking capacity Nani kamwambia kuwa kuwa mkristo ndo inakupa maono ya kujua uzuri wa chama cha chadema na viongozi wake. Wangapi ni wakristo wazuri lakini wako na ccm damdam na wala hawajui na wanadanganyana ndani ya CCM? Watu kama hawa sijui wanatokea wapi jamani! Sasa eti huyu naye ni...
  9. BabaH

    I am looking for Human Resource Information System Books please

    Hallow fellows I am looking for Human Resource Information System please If you have it, or you know where I can download the best one, help me please Thanks in advance
  10. BabaH

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Kwani haya umeanza kuyasikia kwa chadema tu? mbona hata hao walioko shikilia serikali yetu nao ndio zao. ebu fuatilia nyendo za viongoi wote hapo srikali kuu, utapata jibu
  11. BabaH

    Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

    vipi wakubwa?? mbona kimya jamani, mambo hayajawa kama tulivyotarajia nini
  12. BabaH

    Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

    lete habari hizo basi maana watu tunasubiria tuu fanya mambo kiroboto
  13. BabaH

    Tamko la Rostam Aziz dhidi ya Reginald Mengi na yatokanayo. Amuita fisadi Nyangumi

    Lete mambo wakuu lete habari tujue nani ni nani na inakuwavipi baada ya kupashana habari hizo
  14. BabaH

    Tamko la Rostam Aziz dhidi ya Reginald Mengi na yatokanayo. Amuita fisadi Nyangumi

    Hivi hizi ndio haina ya press conference tunazofanya Tanzanian what is new inside that press confrerence jamani Pumba pumba, au bado hajaanza kuongea nini? Haya ngoja tuone mwishilio wake ni nini hapo
  15. BabaH

    Tamko la Rostam Aziz dhidi ya Reginald Mengi na yatokanayo. Amuita fisadi Nyangumi

    mwambie nikiwa kama mmoja wa wananchi wa Tanzania, simwamini kwa njia yoyote ile na najua kuwa yeye ni mwizi mkubwa wa mali zetu, hivyo basi asijumuhishe kuwa wanachi wato tunamwamini, sio kweli hao ni UVCCM tabora ndio wanaomwamini kwa kutaka kusaliti taifa letu Fisadi mkubwa wewe
  16. BabaH

    Tamko la Rostam Aziz dhidi ya Reginald Mengi na yatokanayo. Amuita fisadi Nyangumi

    Haya bwana nini kinaendelea mpaka hivi sasa na hao mabaunsa wa nini au kunaweza kutokea mpigano leo hapo jamani?
  17. BabaH

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    masha ndio waziri wetu huyo!!!
  18. BabaH

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Kama kawa ebwana hiyo imek fresh kabisa watanzania wote tungekuwa kama wananchi wa Tarime ingekuwa mwake kinoma hongera
  19. BabaH

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Ndivyo upinzani unavyotakiwa kuwa, na sio vyama kuungana na kushindana na CCM tu Bali kila chama kitumie jitihada zake kukishinda chama kingine chochote kilichosajiliwa
Back
Top Bottom