Mbona umeamua kugawa namba za watu hovyo? Wao walitoa namba ya makinda kwa sababu maalumu iliyokuwa wazi publicly,na wewe imekuwaje? Nahisi utakuwa mwigulu nchemba,maana jamaa hana wisdom hata kidogo! Kumbe bana elimu haisaidi kitu,mtu huzaliwa na hekima zake.