Search results

  1. Kenyan

    Idadi ya watumiaji wa bangi yaongezeka maradufu Kenya

    Tafiti mpya iliyofanywa na mamlaka ya kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya NACADA imeonesha kuwa watumiaji wa bangi wameogezeka maradufu katika kipindi cha miaka 5. Kwa mujibu NACADA, mtu mmoja katika kila watu 53 walio na umri wa kati ya 15 - 65 ni mraibu wa bangi. Wanaume wanaongoza kwa...
  2. Kenyan

    Ombi la kupiga marufuku mtandao wa TikTok lawasilishwa Bungeni

    Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula leo amepokea ombi rasmi la kutaka kupiga marufuku matumizi ya mtandao wa TikTok, kwa madai kuwa mtandao huo unatumiwa vibaya na Vijana kueneza uchafu na anasa hasa nyakati za usiku. Ombi hilo limewasilishwa na Afisa Mtendaji wa Kampuni ya Briget connect...
  3. Kenyan

    Rais William Ruto atinga saa ya mkononi yenye thamani ya Shilingi milioni 111.

    Rais William Ruto ameibua mjadala mitandaoni baada ya wataalam wa saa za mkononi kufichua kwamba alivaa saa kutoka kwa kampuni ya Jaeger Coultre yenye thamani ya Shilingi milioni 6.4 za Kenya ambazo ni sawa na milioni 111,565,761 pesa za Tanzania.
  4. Kenyan

    Rais Uhuru Kenyatta aagizwa kurejesha bunduki zote familia yake inazomiliki

    Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta. Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
  5. Kenyan

    Wakenya waanzisha vita mtandaoni (Twitter) dhidi ya Watanzania

    Baadhi ya raia wa Kenya katika mtandao wa Twitter wameonekana kukerwa na kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan juu ya athari ya maandamano yanayoendelea kushuhudiwa. Rais Samia alisema kuwa Tanzania imekuwa ikipokea idadi kubwa ya wawekezaji tangu mwezi Juni kutokana na 'moto' mkubwa unaoshuhudiwa...
  6. Kenyan

    Raila Odinga akiri kuugua homa kali

    Hatimaye Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga amevunja ukimya baada ya kutojitokeza hadharani kushiriki maandamano. Raila ameeleza kuwa alilazwa baada ya kuugua homa kali. “Niko na homa mbaya sana ambayo ilinipiga na ikanilaza chini. Nimepata matibabu kutoka kwa daktari na sasa ninazidi kupata...
  7. Kenyan

    Wakenya washinikiza askari huyu akamatwe

    Wakenya kwenye mitandao ya kijamii wametoka rai kwa Inspekta Jenerali wa Polisi Japheth Koome kumkamata askari huyu aliyenaswa na kamera mara tu baada ya kumpiga risasi mtu mmoja kwenye maandamano ya Jumatano katika eneo la Mathare, kaunti ya Nairobi. Baadhi ya watu katika mtandao wa twitter...
  8. Kenyan

    Mke wa Mbunge Babu Owino aiomba Serikali kumuachumia huru mumewe

    Mbunge wa Embakasi Mashariki Mheshimiwa Babu Owino angali bado anashikiliwa na polisi katika kituo cha Polisi cha Wanguru kilichoko kaunti ya Kirinyanga, Mke wake Fridah Ongili amethibitisha. Owino ambaye ni mwandani wa karibu wa Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga alikamatwa Jumanne jioni katika...
  9. Kenyan

    Aliyekuwa Kiongozi wa Mungiki Maina Njenga akamatwa

    Kiongozi wa zamani wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga alikamatwa nyumbani kwake eneo Kiserian usiku wa kuamkia Alhamisi. Aidha kakake Njoroge Njenga pamoja na msaidizi wake Ole lekishe walitiwa nguvuni usiku uo huo. Kwa mujibu wa Mwanasheria wake Ndegwa Njiru, haijabainika wazi kituo cha...
  10. Kenyan

    Habari kubwa za magazeti ya Kenya leo Julai 20, 2023

    Karibu utupie jicho yaliyomo kwenye kurasa za mbele ya magazeti leo Julai 20, 2023. Inasadikiwa wahariri wakuu wa magazeti walifikia makubaliano ya kutumia kichwa kimoja cha habari, kutoa rai kwa raia kudumisha umoja na amani. Ikumbukwe maandamano yanatarajiwa kuendelea Leo na kesho.
  11. Kenyan

    Shule kufunguliwa kesho Julai 20, 2023 baada ya kufungwa sababu ya mgomo

    Wizara ya elimu imetangaza kuwa masomo katika shule za kutwa zilizokuwa zimefungwa leo katika kaunti za Nairobi, Kisumu na Mombasa yatarejelewa kesho Alhamisi. Awali Serikali ilitangaza kufunga shule hizo kutokana na vuguvugu la maandamano linaloshuhudiwa nchini lakini sasa imeeleza kuwa...
  12. Kenyan

    Raila Odinga yuko wapi?

    Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga pamoja na Viongozi Wakuu wa Muungano wa Azimio akiwemo Martha Karua hawajulikani waliko. Vilevile Wabunge kadhaa wa Muungano wa Azimio akiwemo Mheshimiwa Babu Owino wangali bado kujitokeza hadharani. Haijabainika wazi iwapo ni mpango wa Raila kutojitokeza...
  13. Kenyan

    Raila Odinga na Kalonzo Musyoka wapokonywa walinzi

    Serikali imewapokonya Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga na Makamu wa Rais wa zamani Kalonzo Musyoka walinzi dakika chache zilizopita. Aidha Wabunge sita akiwemo Opiyo Wandayi vilevile wamepokonywa walinzi. Kawaida Viongozi wa ngazi za juu serikalini wanapostaafu hupewa walinzi kwa ajili ya...
  14. Kenyan

    Idadi ya maiti Shakahola yafikia 419

    Idadi ya maiti Shakahola yafikia 403 Idadi ya maiti zilizofukuliwa katika msitu wa Shakahola imefikia 403 baada ya miili 12 kufukuliwa tena. Hayo yamethibitishwa na Kamishna wa ukanda wa pwani Rhoda Onyancha ambaye amesema shughuli ya kusaka miili inaendelea kwa ushirikiano mkubwa wa maafisa wa...
  15. Kenyan

    Raila Odinga: Wakenya mjiandae kwa maandamano ya kimapinduzi kuanzia Jumatano

    Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga kupitia Ukurasa wake wa twitter amethibitisha kuwa vuguvugu la maandamano ya siku tatu mfululizo kuanzia Jumatano lingali bado lipo kwenye ratiba ya Muungano wa Azimio. Maneno yake yanakuja dakika chache tu baada ya Mahakama kudinda kuweka zuio la maandamano...
  16. Kenyan

    Raila Odinga: Natarajia kukamatwa wakati wowote baada ya Kiongozi mmoja wa Upinzani kukamatwa

    Raila Odinga Kiongozi Mkuu wa Upinzani Raila Odinga amesema kuwa anatarajia kukamatwa wakati wowote kuanzia sasa baada ya kuthibitisha kukamatwa kwa aliyekuwa Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya jioni ya Alhamisi. Aidha Raila ametangaza siku 5 za kuomboleza waandamanaji walioaga dunia...
  17. Kenyan

    Uharibifu uliotekelezwa 'Nairobi Expressway' kuigharimu Serikali Tsh bilioni 12

    Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen amesema uharibifu uliotekelezwa na waandamanaji kwenye barabara maarufu ya 'Nairobi Expressway' utagharimu Serikali ya Kenya takriban milioni 700, sawa na bilioni 12 pesa za Tanzania. Waziri Murkomen amesema haya baada ya kuzuru barabara hio kufanya...
  18. Kenyan

    Upinzani kufanya maandamano siku tatu mfululizo kuanzia Jumatatu

    Seneta wa kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna kwenye mahojiano na televisheni ya Citizen amethibitisha maandamano sasa yatadumu kwa siku tatu mfululizo kila wiki; kuanzia Jumatatu mpaka Jumatano. Tangazo hili linakuja huku taifa likikadiria hasara kubwa kufutia maandamano makubwa yaliyofanyika Jana...
  19. Kenyan

    Waziri Murkomen aahidi adhabu kali kwa uharibifu uliofanyika kwenye barabara ya 'Nairobi Expressway'

    Maandamano ya Jumatano yalishuhudia uharibifu mkubwa zaidi ikilinganishwa na ya hapo nyuma huku waandamanaji wakiharibu barabara maarufu ya Expressway, ambayo ilikuwa ndio mradi mkubwa zaidi na wa mwisho aliofanikisha Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Barabara hio ambayo watumiaji wake hulazimika...
  20. Kenyan

    Idadi ya waliofariki dunia kwenye maandamano ya Nairobi pekee yafikia 3

    Watu watatu wameaga dunia eneo la Mlolongo kwenye barabara ya kuelekea Mombasa kufuatia vuguvugu la maandamano linaloshuhudiwa nchini. Aidha waandamanaji wa eneo hilo leo wameharibu sehemu ya barabara ya Expressway iliyokuwa ndio mradi mkubwa wa mwisho wa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta...
Back
Top Bottom