Search results

  1. F

    Rostam Aziz afiwa na baba yake mzazi Leo

    Leo alfajiri baba mzazi wa Rostam Aziz, mzee Abdurasul Aziz amefariki dunia baada ya kuumwa kipindi kirefu. Alitibiwa Muhimbili na baadae kwenda Ufaransa ambako baada ya kuzidiwa alitaka arudishwe nyumbani Tanzania ili afariki akiwa huku.Baada ya kurudi alfajiri ya Leo alifariki masaa mawili baadae.
  2. F

    Nchimbi aanza ubabe

    Leo Nchimbi ametangaza kufunga kambi ya Mtabira....kambi hiyo ambayo iko kwa zaidi ya miaka 30 wamewafutia hazi ya ukimbizi baadhi yao pamoja na kuwa walitaka wabaki hapa nchini. Nadhani sasa anaharibu heshima yetu ya ukarimu kwa wageni kwa kuwa hata UNHRC wamekuwa chini chini wakionyesha...
  3. F

    Uchaguzi wa NEC Hanang': Sumaye abwagwa na mama Nagu

    Matokeo ndio yamemaliza kutolewa Mama Nagu kapata kura mia sita na alobaini na mh waziri mkuu mstaafu na mgombea urais mtarajiwa kapata kura mia nne ishirini.
  4. F

    Nchimbi ashinda NEC wilaya ya Songea mjini

    Habari nilizopata hivi punde ni kuwa Mh. Nchimbi ameshinda kwa kishindo uchaguzi wa Nec kuwakilisha Songea mjini kwa kupata kura 722 na kuwapita wapinzani wake ambao ni Yusuphu aliepata kura 44 na Mwenyekiti wa Uwt wilaya aliepata kura 22
  5. F

    Familia nzima ya Dr. Kigwangwala imeshindwa uchaguzi Nzega leo

    Kama ambavyo niliwajuza leo ni kuwa Mh. Kigwangala leo alikamatwa na rushwa wakati wakiwa katika harakati za kuomba kushinda....matokeo yametoka kama ifuatavyo...Mh Kigwangwala aligombea nafasi ya ujumbe wa Mkutano mkuu wa taifa kupitia wazazi na bahati mbaya amedondoka...mkewe aligombea mkutano...
  6. F

    Mh. Kingwangala na mkewe wadakwa na TAKUKURU

    Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya. Bado wanaendelea kuhojiwa...
  7. F

    Mkurugenzi wa Maji mwenye Kesi ya Wizi na Ubadhirifu Anaendelea na Kazi

    Nimeshangga sana kugundua kuwa mkurugenzi wa mamlaka ya maji Safi na Maji taka Moshi ,Bwana Antonny Kasonta ambaye miaka minne iliopita alilalanikiwa na Mh. Halima Mdee kuwa ni mbadhirifu na mwizi aliepelekea mpaka ofisi ya MUWSA kukopa hela za mshahara baada ya kufuja mapato anaendelea na...
  8. F

    Mwandishi Dennis Msaki ajiuzulu "Nipashe"

    Mwandishi mahili wa gazeti la nipashe mwenye cheo cha News Editor Ndugu Dennis Msaki ameandika barua ya kuacha kazi kwa notice ya masaa 24 kuanzia saa sita mchana wa leo,kuna habari za kuaminika kuwa amekwenda kujiunga na gazeti la mtanzania la kampuni ya habari cooperation hasa baada ya...
  9. F

    Rostam atingisha mkutano wa hadhara igunga

    Leo mheshimiwa Rostam kapokelewa kwa shangwe kubwa na msululu mrefu wa wapiga kura wake kwenye uwanja wa samora mjini Igunga,baskeli pikipiki pamoja na maelfu ya wakazi walijumuika kwenye mapokezi hayo....kisha aliwahitubia akichanganya lugha ya kisukuma na kiswahili pamoja na mambo mengine ya...
  10. F

    Mahakama yalitia hatiani MwanaHalisi

    Hatimaye kwa nguvu za Mwenyezi Mungu alie hai mahakama kuu ya tanzania imetoa hukumu ya kesi kati ya kubenea na rostam aziz,mahakama imetoa hukumu hio tar 29 april,imemtaka kubenea amlipe rostam bilioni tatu pamoja na gharama za kesi kwa kumchafua hasa kuhusiana na richmond thanx God.its me...
Back
Top Bottom