Nchimbi ashinda NEC wilaya ya Songea mjini

Fisadi Mtoto

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
639
79
Habari nilizopata hivi punde ni kuwa Mh. Nchimbi ameshinda kwa kishindo uchaguzi wa Nec kuwakilisha Songea mjini kwa kupata kura 722 na kuwapita wapinzani wake ambao ni Yusuphu aliepata kura 44 na Mwenyekiti wa Uwt wilaya aliepata kura 22
 
Unajua ametumia Tshs ngapi kupata huo ushindi? ....
 
I was about to ask the same question!!! Umeniwahi!! SSM kama huna hela za takrima huwezi kushinda hata kama una sifa za utendaji. Unaambiwa kabisa leta hela tuwapelekee wapiga kura!!!
 
Habari nilizopata hivi punde ni kuwa Mh. Nchimbi ameshinda kwa kishindo uchaguzi wa Nec kuwakilisha Songea mjini kwa kupata kura 722 na kuwapita wapinzani wake ambao ni Yusuphu aliepata kura 44 na Mwenyekiti wa Uwt wilaya aliepata kura 22

ni wakati wa kubadili hiki kifupisho na kuwa UWCCM
 
mara nyingi ukifika uchaguzi wa unamhusisha mchimbi songea,kuna watu lazima waibuke na magari mapya.!
 
Duh ndo maana alisema akijihudhuru kamwe hatatokea waziri kama yeye Tanzania hii!
 
ni mbunge gani au kiongozi gani aliewahi kushinda UWCCM bila kutoa hela?
kama yupo ajitokeze.
mtashuhudia visa vingi katika chaguzi zao NEC
 
Back
Top Bottom