Search results

  1. Mazee

    Mgomo wa walimu wakati shule zimefungwa

    najaribu kutafakari hapa kuhusu huu mgoomoo wa walimu nasikia kwanza kwa sasa shule zimefunga na wanaoenda shule ni wanafunzi wa darasa la saba tu na imefanywa hivi ili kuruhusu zoezi la sensa ambalo kwa kiasi kikubwa walimu ndio the machinery kubwa inayotumika ili kufanikisha halafu viongozi...
  2. Mazee

    MADOKTA Na PROPAGANDA Za MPONDA NA SERIKALI

    [B]Madaktari na Serikali SERIKALI KWA SASA INAENDELEA KUPIGA PROPAGAND ILIKUPOTEZA MWELEKEO MZIMA WA HILI SAKATA KWA KUTAKA JAMII NA HATA MADAKTARI WENYEWE WAANZE KUJADILI HILI KUWA ETI FLANI NI MTU AMA SIO MTU AU HIZI UNAZOSOMA NI HERUFI AU SIO HERUFI , HAHAHA MY POOR MY STUPID GOVERNMENT...
  3. Mazee

    Madaktari kugoma nchi nzima!

    Kikao cha mkutano mkuu wa dharura wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) kilichofanyika leo siku ya jumamosi, tarehe 14/01/2012 ukumbi wa JAFFARY COMPLEX kimejadili kwa kina yafuatayo: 1. Kwamba, chama cha madaktari Tanzania kimejadili na kuazimia kutoa masaa 72 kwa serikali kuwa “Intern...
  4. Mazee

    Richmond kuwa DOWANS ni kosa kubwa sana ila DOWANS kuwa Symbion ni sawa kabisa

    jamani wapembuzi yakininifu nafikiri tittle yangu hapo juu yajieleza vizuri kabisa.. Hivi juzi dowans iliyohusisha kashfa kubwa ya mitambo mitumba,mikataba ovyo imeasiliwa na kampuni ya kimarekani inayoojiita SYMBION mitambo ni ile ile ya richmond lakini majukwaa ya siasa yote kimya na sasa...
  5. Mazee

    Wanajamii tafadhalini unapokuwa unapost habari humu andika msipost vichwa vya habaari tu

    iMEKUWA KAWAIDA SIKU HIZI KWA WANAJAMII KUPOST VICHWA VYA HABARI TU HUMU NDANI... HAPO TUNAKUWA HATUSHEI TENA HABARI MAANA UNAKUWA UNAIJUA WEWE MWENYEWE HALAFU SIE WENGINE TUNASHINDWA KUELEWA NA KUCHANGIA PIA INAKUWA NGUMU SASA SIJUII KAMA INAKUWA NA MAANA.. HIVYO JARIBUNI KUVIELEZEA BASI...
  6. Mazee

    Uwakilishi wa wanawake bungeni Tanzania 35% USA 16.6% what is your take from this

    Country Tanzania United States Leader President: Jakaya Kikwete President: Barack Obama Population 40,213,200 303,825,000 GDP per capita $1,400 US $48,000 US Literacy Rate 69.4% 99% Corruption Perception Index 3 7.3 Percentage of...
  7. Mazee

    Chadema tuuzieni documentary za maandamano na mikutano yenu,,,,,,,tunazitaka

    tunataka kusikia viongozi wetu wanasema nini na wananchi wenzetu huku wanakopita kuwaelimisha basi andaeni documentaries halafu mtuuzie sisi tuatanunua kwa mfano hii ya arusha hadi leo hatujaipata haya matukio ya kanda ya ziwa tunataka kuyaona pia..... Naamini kiasi kidogo cha pesa...
  8. Mazee

    Ushauri wa bure kwa ccm kuhusu maandamano ya chadema...

    Ninawashauri ccm na wale wanazi wa ccm kuacha kupiga kelele na badala yake na wao waandamane kushawishi wananchi na kuhamasisha katika hoja zao ambazo wao wanaziona kuwa zinafaa kama cdm wanavyofanya by the way falsafa ya cdm imekuwa ni nguvu ya umma kabla ya matukio ya afrika magharibi...
  9. Mazee

    Jamani wananchi wenzangu tudai ahadi zetu zote ambazo muheshimiwa jk alituahidi ...

    Mi nimeamua kutoa hii rai kwani utafaikiri tumesahau ahadi motomoto ambazo Mkwere alizitoa alipokuwa akiomba kurudi ikulu..aliahidi ¤Vivuko karibu kila mkoa ambao ulikuwa una uo uhitaji wa aina hiyo... ¤Mabasi yaendayo kwa kasi... ¤Flyovers kukabiliana na msongamano wa magari dar es salaam...
  10. Mazee

    Chadema tuache pigana vijembe na ccm tutapoteza dira tuchape kazi

    chadema tuache pigana vijembe na ccm tutapoteza dira tuchape kazi... Ukibishana na mjinga na wewe unakuwa ...... Maana bunge linaanza kupoteza mashiko kwa kuendeleza mipasho kama linavyoendelea this should be our slogan from now on kazi tu hakuna shobo hakuna mipasho ... La tutaendelea...
  11. Mazee

    Nguvu ya umma muonyeshe ukomavu hiki ndio kipindi

    napenda kuwasihi wanachadema kuwa wavumilivu na kuonyesha ukomavu zaidi katika kipindi hiki muhimu kwani mafisadi wanakaza uzi zaidi kwa kuwa wameshikilia mpini na wameisha wanunua wanaojiuza wengine kutoka tlpnccrdp et cetera na bi mkubwa wao caf tafadhali nawaomba hiyo mipasho yao...
Back
Top Bottom