Chadema tuuzieni documentary za maandamano na mikutano yenu,,,,,,,tunazitaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema tuuzieni documentary za maandamano na mikutano yenu,,,,,,,tunazitaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mazee, Mar 2, 2011.

 1. Mazee

  Mazee Senior Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tunataka kusikia viongozi wetu wanasema nini na wananchi wenzetu huku wanakopita kuwaelimisha basi andaeni documentaries halafu mtuuzie sisi tuatanunua kwa mfano hii ya arusha hadi leo hatujaipata
  haya matukio ya kanda ya ziwa tunataka kuyaona pia.....
  Naamini kiasi kidogo cha pesa kitapatikana lakini kitasaidia for sure
  viva mshikamamo....
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  wonderful thought!
   
Loading...