Wanajamii tafadhalini unapokuwa unapost habari humu andika msipost vichwa vya habaari tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanajamii tafadhalini unapokuwa unapost habari humu andika msipost vichwa vya habaari tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mazee, Jun 13, 2011.

 1. Mazee

  Mazee Senior Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  iMEKUWA KAWAIDA SIKU HIZI KWA WANAJAMII KUPOST VICHWA VYA HABARI TU HUMU NDANI...
  HAPO TUNAKUWA HATUSHEI TENA HABARI MAANA UNAKUWA UNAIJUA WEWE MWENYEWE HALAFU SIE WENGINE TUNASHINDWA KUELEWA NA KUCHANGIA PIA INAKUWA NGUMU SASA SIJUII KAMA INAKUWA NA MAANA..

  HIVYO JARIBUNI KUVIELEZEA BASI HIVYO VICHWA VYA HABARI ZENU.....
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu umetoka usingizini,mbona hueleweki?
  Halafu wewe ni Mmakonde wa wapi?
   
Loading...