Jamani wananchi wenzangu tudai ahadi zetu zote ambazo muheshimiwa jk alituahidi ...

Mazee

Senior Member
Dec 6, 2007
128
24
Mi nimeamua kutoa hii rai kwani utafaikiri tumesahau ahadi motomoto ambazo Mkwere alizitoa alipokuwa akiomba kurudi ikulu..aliahidi
¤Vivuko karibu kila mkoa ambao ulikuwa una uo uhitaji wa aina hiyo...
¤Mabasi yaendayo kwa kasi...
¤Flyovers kukabiliana na msongamano wa magari dar es salaam
¤Treni la kasi..
¤Zingine wadau naomba mnisaidie na kama kuna ambazo nimemsingizia mzirekebishe....
Ni stahili yetu jamani wala tusisite kuzidai..
 
Ataanzia wapi mbona zilikuwa nyingi sana, na sasa majanga ndio hayo muda wa kushughulikia ahadi utoke wapi, wale wahanga wa mabomu amewaombea mungu awazidishie maradufu ya walivyopoteza. Tena nimekumbuka pale zamani alituambiaga hawajui dowans, nilishangaa na sasa nashangaa zaidi, mbona alikujaga mtu akasemaga yeye ndie dowans, halafu akaondoka bila kupigwa picha, mzee hajasema kama kesha mjua au bado?
 
Back
Top Bottom