Tumezoea sio kawaida sabuni za kawaida zinazokatwa vipande kupanda bei, tumezoea kuwa mche wa sabuni ukipanda sana ni tshs 500/= lakini hadi sasa mche wa sabuni umepanda kutoka shs 2300/= ya mwezi March na kufikia tshs 4000/ kwa mwezi May.
Kipande cha sabuni bei yake ilikuwa ni tshs 500/= na...
mie pamoja na HOSEAkutoka kanda ya ziwa bado simkubali maana anakuwa kimya sana.Sheria kibaozinavunjwa,katiba inasiginwa yeye kimya.Sasa umuhimu wake ni nini?
Heri ya sikukuu ya wafanyakazi duniani(mei mosi) ndugu zangu watanzania. Nimeleta uzi huu kukosoa Kauli ya Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Job Augustino Ngugai alipopewa nafasi ya kusalimia mbele ya mh Rais alisema anazungumza na watani wake na kusema;natamani mbadilishe...
Watetezi wa haki za binadamu leo wamepokea habari njema baada ya akaunti zao za fedha zilizokuwa zimefungwa kwa muda usiopungua miezi 8 kufunguliwa leo.
Mamlaka zimesema kufungwa kwa akaunti hizo ni kitu cha kawaida pale wanapoona kuna haja ya kufanya hivyo panapokuwa na mashaka na akaunti...
Nakumbuka marais hawa wawili waliwahi kuzungumza kwa simu hata kabla ya uchaguzi wa mwaka jana 2020 .Rais Magufuli alisema amezungungumza na Rais mwenzake wa Kenya mh Kenyatta na kuweka mambo sawa na kumwagiza waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na wa Kenya kukutana mara moja Ili kusawazisha...
kuna taarifa zinadai Rais Museveni baa da kushinda na kuapishwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa awamu ya tano mfululizo inadaiwa kuwa viongozi wote wa afrika na duniani kwa ujumla wamemsusa na ni rais wa Tanzania pekee ndo alimtumia salam na kumpongeza kwa ushindi?
Kwani rais Museven amekosea wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.