Search results

  1. NingaR

    Toleo jipya la Android kuitwa KitKat na sio Key Lame Pie

    Toleo jipya la Android 4.4 litaitwa KitKat na sio kama tulivyo talajia kuitwa Key Lame Pie, KitKat malengo yake ni kufikisha matumizi madhubuti ya Android kwa kila mtu Historia ya Android iko namana hii Android Beta: Astro Android Beta: Bender Android 1.5: Cupcake Android 1.6: Donut...
  2. NingaR

    SAUT Applicants Selected to Join Various Degree Programmes 2013/2014

    SAUT Mwanza imetoa List of first year applicants-2013/2014 unaweza ingia link hii Saint Augustine University of Tanzania » Applicants Selected to Join Various Degree Programmes 2013/2014 au download attachment
  3. NingaR

    UDOM List of first year applicants-2013/2014

    UDOM imetoa List of first year applicants-2013/2014 unaweza ingia link hii List of first year applicants 2013/2014-First batch - List of first year applicants-2013/2014 au download attachment
  4. NingaR

    Jinsi ya kuondoa Google Ads katika simu za Android.

    Watumiaji wengi wa Android suala la Ads katika Apps linatuchukiza sana, hapa nitaeleza njia ya kuondoa Ads.Mahitaji: 1. Simu ya Android iliyokwisha Kurutiwa. 2. Lucky Patcher App (http://lucky-patcher.netbew.com/download/files/Lucky%20Patcher%20v3.5.2.apk) Namna ya Kuondua Ads...
  5. NingaR

    Windows 8 and Office 2013 Activator.

    Kama topic inavyo jieleza, ambao mpaka sasa hawaja activate products zao chukueni hii. Updates:
  6. NingaR

    My Dedication to Tech, Gadgets & Science Forum

    wadau wakati tukifanya shughuli ka wimbo ka kututia moyo hako jamani
  7. NingaR

    Maelezo ya ku- root Android phones

    kume kua na umuhimu mkubwa kutoa taarifa na elimu juu ya ku root android devices leo nimeona sio mbaya tushirikishane kile tukijuacho kuhusu rooting.KABLA YA KUANZA: KUROOT SIMU YAKO KUTA BATILISHA WARRANTY NA MUUZAJI ALIE KUUZIA, PIA ROOT AT YOUR OWN RISK I WILL NOT BE HOLD RESPONSIBLE FOR ANY...
  8. NingaR

    Sony Announces New Slimmer and Lighter PlayStation 3.

    Sony has announced yet another redesign to their popular PlayStation 3 console Just like the last one that came out three years ago, this one cuts down on the size and weight by being 20% smaller and 25% lighter than the previous Model. Internally, the new console seems to be pretty much...
  9. NingaR

    Names of successful loans applicants for 2012/2013 Academic Year will be out soon!

    Names of successful loan sapplicants for 2012/2013 Academic Year will be out soon! SOURCE:Quote of the Day at Welcome to HESLB
  10. NingaR

    Nauza PIKIPIKI hii.

    Bei:MAELEWANO
  11. NingaR

    UDOM Admission Letter

    wale wa UDOM admission latter zitapatilana ALIS mnamo tarehe 12 September. SOURCE: ALIS UDOM
  12. NingaR

    UNANG'ANG'ANA na Mademu wa Facebook

  13. NingaR

    ELEWA kuhusu HESLB.

    Najua vijana wangu macho yote yako kwa HESLB mkisubiri % za mikopo, nataka kuwajuza kua kilicho kua kikisubiliwa ni zoezi la wale walio kosea kujaza form za mikopo ambapo zoezi hilo limeisha rasmi 29/08/2012, so tegemee ni mambo kua wazi siku na saa yeyote kuanzia 1st September. Pia naomba...
  14. NingaR

    UMECHAGULIWA PROGRAM IPI na NI CHUO GANI??

    Wale wote walio pata admission hebu tuambizane degree program tulizo chaguliwa na ni vyuo vipi. ili iwe rahisi kutafutana Waheshimiwa Jukwaa ni lenu
  15. NingaR

    SHUKRANI kwa SENATOR.

    Najua wengi mtaanza kujiuliza Huyu jamaa ni nani?? hamuwezi jua maana JF mlivutwa na ze duduz. Senator ametoa mchango mkubwa sana katika ushauri wakati wa michakato ya uombaji wa vyuo na mikopo, kwa wadau wa Jukwaa la Elimu nadhani mnamfahamu, naanzisha uzi huu Kama shukrani kwake kwa...
  16. NingaR

    DIRECT SITES for DOWNLOADS

    Ndugu wana JF naomba tu shee direct sites za kudownload vitu mbalimbali kuanzia Movies, TV Series, Music,Music Videos, Softwares,Games na Hata Vitabu. wadau Jukwaa ni lenu
  17. NingaR

    FROM BSC. in MINING ENGINEERING to MASTERS in PETROLEUM ENGINEERING

    Ndugu wana Jamvi la ELIMU kama mada inavyo jieleza, naomba kuuliza kama kunauwezekano wa Mtu alie soma degree ya Mining akaja kuchukua Masters ya Petroleum? hii ni kutokana na upungufu wa vyuo vinavyo toa degree ya petroleum hapa nchini! Kama haiwezekani pia naomba kujua kua kama mtu kachaguliwa...
  18. NingaR

    Nokia Fans: Here We Go Again.

    Wale wapenzi wa Nokia kama chief-mkwawa natumai mnazikumbuka Nokia zenye Viuno kama vile Nokia 3250(iliyo tumika kwenye wimbo wa Rihanna UNFAITHFUL) na Nokia 5700 Express Music Sasa Mnaomaje tukipata kitu kama hivyo chenye Windows Phone 8?? Here it comes Nokia Lumia X with WP8...
  19. NingaR

    Introducing Google Nexus 7, Tablet ya BEI NAFUU DUNIANI

    Haya kwa wapenzi wa android na Tablets kwa ujumla Google hivi karibuni wame tangaza kifaa kipya kwa chenye bei nafuu kupindukia, si kingine bali ni Google Nexus 7 kilicho tengenezwa na kampuni la ASUS, Google Tablet yenye uwezo mkubwa na BEI ndogo kuliko unavyo fikiri kwa US $199 kwa 8Gb version...
  20. NingaR

    Qualification status katika CAS.

    Habari wana Jf, katika kufuatilia mchakato wa udaili wa wanafunzi katika CAS(Central Admission System) ya TCU nimekutana na category moja imeongezwa ambayo ni Qualification Status, ambapo kila faculty utakayo omba unawekewa kama uko Qualified au Not Qualified. Nawapongeza TCU kwa kuweka hichi...
Back
Top Bottom