Names of successful loans applicants for 2012/2013 Academic Year will be out soon!

quote of the day:higher education students loans board is for needy students.hyo yako umeiquote wap mkuu?

ilikuwepo navkulikuabna 2 bot online, saiv naona wameitoa na kuna 3 bot online, mimi nimeidhuhudia livi bila chenga
 
hebu angalieni mtaona kua Quote of The Day zinabadirika badirika,
mpaka sasa nimesha shuhudia 3 tofaititofauti
 
Ulanzi wa asubuhi ni hatari kwa akili yakO

Quote of the Day
Be Responsible; repay your
higher education loan.

Mkuu najiheshimu sana, na niliona ni muhimu kuwafaamisha kwanini nidanganyi nimeona kitu ambacho sijakiona??
 
Mi nakuamin mkuu kwa sababu kwangu mim huna historia ya kusema uongo alafu had sas hv hyo qt of a day imebadilika tena xo embu 2we wavumilivu 2ngoje..
 
Back
Top Bottom