SHUKRANI kwa SENATOR. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHUKRANI kwa SENATOR.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NingaR, Aug 21, 2012.

 1. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Najua wengi mtaanza kujiuliza Huyu jamaa ni nani?? hamuwezi jua maana JF mlivutwa na ze duduz.
  Senator ametoa mchango mkubwa sana katika ushauri wakati wa michakato ya uombaji wa vyuo na mikopo, kwa wadau wa Jukwaa la Elimu nadhani mnamfahamu, naanzisha uzi huu Kama shukrani kwake kwa kutusaidia wengi kwa namna moja ama nyingine!!

  Thanks Mkuu SENATOR mungu akujalie.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Dah!hata me huyu msela kanisave sana.
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana vijana.mkasome sasa!
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,145
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  huyu ndiye mkuu wetu wana UDSM ingawa amehitimu tayari
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Hongera sana @Senetor. Endelee na moyo huo huo.
  lakini huyu dogo si ameshaua chuo? mia
   
 6. z

  ze dudu01 JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana Ninga R umesahau kuhusiana na mchakato wa matokeo jamaa alikuwa mstari wa mbele kutujuza kila kitu kilichokuwa kikiendelea katika matokeo yetu mpaka siku ile yanatangazwa rasmi nakumbuka alitutajia tanzania one kabla matokeo hayajatolewa rasmi " kwa kweli senator umenisaidia mambo mengi sana !! Naomba Mungu akutangulie na akusaidie katika mambo yako yote narudia tena Shukrani sana kaka !!
   
 7. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwanini usingem pm? Watu wengine bwana
   
 8. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ze duduz kazi yako hii
   
 9. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  :D:D lol cant wa8 for th reply
   
Loading...