Nokia Fans: Here We Go Again.

NingaR

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
2,759
590
Wale wapenzi wa Nokia kama chief-mkwawa natumai mnazikumbuka Nokia zenye Viuno kama vile Nokia 3250(iliyo tumika kwenye wimbo wa Rihanna UNFAITHFUL)
nokia-3250-00.jpg

na Nokia 5700 Express Music
nokia-5700-00.jpg

Sasa Mnaomaje tukipata kitu kama hivyo chenye Windows Phone 8??
Here it comes Nokia Lumia X with WP8, 8MP,Super Amoled display, and many More
Nokia-Lumia-X-490x322.jpg

instead of this kuna some N-GAGE are coming zikiwa integrated with Xbox.
Natumai Nokia fans tutaburudika kwa hili.
kilichobaki kwangu ni ku dump hiki kiAndroid.
NB:-THESE ARE RUMORS, IT'S NOT YET OFFICIALLY ANNOUNCED.

SOURCE
 
Last edited by a moderator:
Hahaha hio sio kweli, kuna mpuuzi alianzisha hizo rumors ila wajanja wakanasa psd yake alitumia nokia 5700 kuedit hio lumia ngage hata ukiangalia kwa makini ina screen wa windows phone 7 na sio wp8. Then screen ni ndogo still 240x320

Tusubiri nokia world mwez ujao nokia watazindua double core na first device ya wp8
 
Nimejitia kimbelembele kununua hizi series za lumia!! Dah itabidi wajipange kwa hapa, no internet sharing, nor memory card slot, den wanatuwekea 8GB ya nini wakati siwezi tumia as a mass storage!! Cant transfer files via bluetooth!! Damn wajipange tena saaana!! Nafikiria kuiuza tu hii kitu NOKIA LUMIA 710
 
Mkuu ila inge suits kinowma maana watu tunapenda simu zenye maumbo ya ajabu ajabu kama hii.

Ha ha ha.... Kitambo kuna mtu ktaani alikuanayo akawa anaiita mwanamke nyonga,. Teh teh teh...
 
nimejitia kimbelembele kununua hizi series za lumia!! Dah itabidi wajipande kwa hapa, no internet sharing, nor memory card slot, den wanatuwekea 8GB ya nini wakati siwezi tumia as a mass storage!! Cant transfer files via bluetooth!! Damn wajipange tena saaana!! Nafikiria kuiuza tu hii kitu NOKIA LUMIA 710

Sijaelewa umemanisha nini uliposema no internet sharing

Na bluetooth hio simu inayo why haitumi vitu?
 
mkuu mbona kama naanza kuamin hv... Coz alieipeleka hyo phote et anasema kapata hyo pcha kutoka kwa rafk ake anaefanyia kaz nokia .... [[Exclusive]Nokia Lumia X Windows Phone 8 Device Launching in September, Supposedly It’s Real – Concept Phones]

Hiyo post alopost mwanzo ni nokia fan blog huyo jamaa wa concept phone kakopy na kupaste search lumia ngage na lumia x utaona blog nyingi wame acknowledge source hio.

Kaka yani nokia wakitoa lumia ngage itakua ni worst mistake hio simu ni nzuri ila sio hio septmber.

Waone iphone mi napenda nokia ila hawa jamaa nawafagilia kitu kimoja wao ni one man army wanatoa simu 1 nyie mnatoa 10 halafu mauzo sawa.

Nokia hio September wanatikwa watoe simu classic kwanza ambayo itakidhi kiu ya wateja wa zamani waliohama and then ndio ianze kutoa version za games, miziki na nyenginezo
 
Hiyo post alopost mwanzo ni nokia fan blog huyo jamaa wa concept phone kakopy na kupaste search lumia ngage na lumia x utaona blog nyingi wame acknowledge source hio.

Kaka yani nokia wakitoa lumia ngage itakua ni worst mistake hio simu ni nzuri ila sio hio septmber.

Waone iphone mi napenda nokia ila hawa jamaa nawafagilia kitu kimoja wao ni one man army wanatoa simu 1 nyie mnatoa 10 halafu mauzo sawa.

Nokia hio september wanatikwa watoe simu classic kwanza ambayo itakidhi kiu ya wateja wa zaman waliohama and then ndo ianze kutoa version za games, miziki na nyenginezo

True dat...
 
Sjaelewa umemanisha nini uliposema no internet sharing

Na bluetooth hio simu inayo why haitumi vitu?

Bluetooth yake ina work kwa matumizi kama ile wireless earphone or maybe wireless keybord na applct design hiyo ila siyo ku transfer files!! nafkiri microsoft wamefanya hivyo kufanya biashara so that kila kitu lazima upitie kwenye trail zao, design kila kitu lazima upitie zune software, Na kuhusu internet sharing ni kuwa haiwezi ku connect kwenye wi-fi hotspot pamoja na tethering hai support. Ila kuna software update imetoka ndo wameweka hii kitu ya internet sharing na camera perfomance tu.
 
Hiyo hata baadhi ya bidhaa za apple ipo... Bluetooth is only for earphones
 
Dah ka pili hako ni kasimu kangu hako nakatumia vipi unaweza cheki muvi kwa hako ka simu kweli
 
Nokia kwishney hata buree sizitaki,mi na vitu kama Samsunga na Huawei basi tosha
 
samsung fan...ila kwenye ishu ya kukopi! nokia cnunui labda bure. Mtazamo wangu tu.

HIVI SMARTPHONE ni cm za aina gan?
 
samsung fan...ila kwenye ishu ya kukopi! nokia cnunui labda bure. Mtazamo wangu tu.

HIVI SMARTPHONE ni cm za aina gan?
Mkuu hata smartphone hujui ni nini??
Ok ni simu zenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi kama mult tasking, web browsing pia zinatengenezwa kwa technology ya hali yajuu. Happ ni kwaufupi sana ngoja waje wadau wengine
 
samsung fan...ila kwenye ishu ya kukopi! nokia cnunui labda bure. Mtazamo wangu tu.

HIVI SMARTPHONE ni cm za aina gan?

Hili neno la kwanza tu SMART linaleta idea ni simu zenye uwezo kuliko la kawaida. Smartphone naeza ielezea kwa features zake

Multitasking kama alivosema ningar. Hapa ina maana inafanya kazi zaidi ya moja kwa mpigo. Mfano unaopen application 3, whatsapp, browser na music player.
Kwenye browser unasurf jf at same time unachat na mtu whatsapp at same time unaskiliza mziki simu ambayo sio smart phone haiyawezi haya

uwezo mkubwa
Smartphone zina uwezo mkubwa wa vitu vingi mfano video smartphone zinaplay hd na zinasuport variety ya codec za video ukija kwenye sauti pia kuna variety ya aina za sauti zinakubali ukija kwenye magame utakuta high quality games.

os
Operating system lazima iwepo kwenye smartphone na mfano ni symbian, android, ios, wp na bb. angalia nkikuuliza simu ya tochi nokia inatumia os gani dhahiri itakua ngumu kujibu maana sio smartphone

customization kwenye smartphone unaieka simu the way unavotaka na application zipo za kumwaga. Mfano unaweza change homee screen ukaeka saa ya mshale au mkonyezo ukachange ukubwa wa icons na mengine meng

I hope umepata mwanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom