FROM BSC. in MINING ENGINEERING to MASTERS in PETROLEUM ENGINEERING

NingaR

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
2,759
590
Ndugu wana Jamvi la ELIMU kama mada inavyo jieleza, naomba kuuliza kama kunauwezekano wa Mtu alie soma degree ya Mining akaja kuchukua Masters ya Petroleum? hii ni kutokana na upungufu wa vyuo vinavyo toa degree ya petroleum hapa nchini! Kama haiwezekani pia naomba kujua kua kama mtu kachaguliwa kusoma degree ya mining je stafanyaje ili aweze kosoma masters ya petroleum??? Naomba kuwakilisha haya kwenu ma GREAT THINKERS.
 
Back
Top Bottom