Introducing Google Nexus 7, Tablet ya BEI NAFUU DUNIANI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Introducing Google Nexus 7, Tablet ya BEI NAFUU DUNIANI

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by NingaR, Jun 30, 2012.

 1. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Haya kwa wapenzi wa android na Tablets kwa ujumla Google hivi karibuni wame tangaza kifaa kipya kwa chenye bei nafuu kupindukia, si kingine bali ni Google Nexus 7 kilicho tengenezwa na kampuni la ASUS,[​IMG] Google Tablet yenye uwezo mkubwa na BEI ndogo kuliko unavyo fikiri kwa US $199 kwa 8Gb version na US $245 kwa 16Gb Verizon, pia utapewa Kianzio cha US $25 kwaajili ya manunuzi kwenye Google Play Store.
  Kwa ufupi kifaa hiki kinatumia Android 4.1 Jelly Bean na kina Hardware za kutosha
  1.3GHz Quad core Nvida Tegra 3 chipset
  1Gb RAM
  7" (1200x800)LED IPS Display
  8/16Gb internal memory
  1.2Mp camera ya mbele yenye uwezo wa kurekodi hadi video za 720p
  Wi-Fi b/g/n
  Na vingi vizuri.
  [​IMG]
  Ili kuhakikisha bei inakua ndogo kifaahiki haki support technolojia ya mawasiliano ya simu yaani huto weza piga wala kutuma SMS na kutumia internet kwa line za simu bali kwa Wi-Fi pekee, Pia kifaa hiki hakina kamera ya nyuma.
  [​IMG]
  Kwa sasa kiko katika oda kwa nchi za USA,BRITISH,CANADA na AUSTRALIA, katikati ya mezi wa saba kitapatikana zaidi. Kwa wapenzi wa technology wenye kipato cha chini huu ndio muda sasa $199 sio ya kutisha kama bei ya iPad au Samsung Galaxy Tablets. Waweza pitia HAPA kwa maelezo ya kiteknolojia zaidi.
  Pia pitia video hizi YouTube
  NAWAKILISHA
   
 2. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Love it, but kwa mazingira ya tz, line ya simu inahitajika kwa ajili ya internet
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Hakna kitu hapo!
   
 4. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,451
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mh.. Ila nikiangalia mazingira ya kibongo... Kwetu uswazi wataniloga bure
   
 5. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  wamekosea haisupport line nta access vp net nikiwa home!
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ndio mkuu kibongobongo line muhimu, Nahisi watatoa na version zinazo support line, lakini bei lazima ipande
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kama home una Wi-Fi hotspot net kama kawa unapata, au unaweza tumia simu nyingine ya android kusupply Internet connection via Wi-Fi
   
 8. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Usiogope kijana, hakuna wa kukuroga savi wa TZ wengi wanaelewa maendeleo ya kitelnolojia.
   
 9. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Really????
   
 10. leh

  leh JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  sielewi kwanini mnasema kwamba kukosa sim slot ni shida. ipad zamani ilikuwa haina sim slot, wala ipod wala laptops. nafikiri ingekuwa poa tablets zote kutokuwepo na sim slots ili ziwe tofauti na simu, otherwise they are just some big arsed phones. thanx NingaR for the info. mi sio mpenzi wa android ila kwa hiyo bei na mie naitamani
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  ukinunua hii unaninua kaideos unakaunlock unaweka line una tether wireless problem solved...12 core GPu hii.iPad kwisha
   
 12. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Umeo na eeeeee Haka ka Ideos kangu sikauzi ng'oooo
   
 13. c

  chilubi JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Hawa google hapa wamechemsha! I dnt know what they are trying to do but i think wamechemsha! Although its a cheapest tablet so far, it wont be succesfull. Hawa jamaa google tayari they have fully acquired Motorola company, whats the point ya wao kwenda kwa ASUS ili watengezewe tablet if they have motorola xoom?? Hii mijamaa saivi ishachanganyikiwa baada ya kuona IOS inazidi kuwa na customers na huku Windows wanakuja kwa kasi ya ajabu!
   
 14. p

  pusy monster Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ovyooooo.............
   
 15. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Nipo india now nimeona kitu hapa hitec city kinaitwa aakash tablet, and ubislate 7 si mchezo hebu wajuzi muifatilie hizo vitu mtupe feedback maana I plan to buy wakat narud bongo
   
 16. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  wenyewe wanasema motorola itakuwa inajiendesha kama separate company na itakuwa treated as other OEM kwenye swala la android. Hao google wanadai wamenunua motorola hasa kwa swala la patents ili kusaidia other android manufactures from being sued. By the way google huwa wanashirikiana na other manufactures kutengeneza their own devices (e.g. Nexus one-htc, nexus s-samsung), ambayo inakuwa ni pure android na all updates wanakuwa wana manage wenyewe, ndio maana ukinunua hiyo device utapata advantages yakuwa na latest updates early before others.
   
 17. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Nimeangalia youtube uzinduzi wa nexus7 ni ndogo bana japo ni cheap lakini ina wifi tu. Mi cjaipenda kabisa
   
 18. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wengi hamjafurahishwa na Nexsus 7 kwa sababu ya kushindwa kutumia line. lakini vitu vingine hamuangalii kabisa.
  Ipad 3 16Gb Wi-Fi only inauzwa US $499 na Nexus 7 ni US $199 tofauti ya US $300 lakini bado watu mnalalamika. Ikunbukwe kua Nexus 7 imekuja kwaajili ya kuwapa watu wa kila kipato ueezo wa kumiliki Tablet. Inawezekana kua Google wata leta version yenye Cellular capability. tusubilini tujionee wenyewe.
  BINAFSI NAONA KAMA Nexus 7 NI MKOMBOZI KWETU WA TU WA KIWANGO CHA CHINI, MSIHOFU SUALA LA Wi-Fi CONNECTION UNAWEZA TUMIA YOUR ANDROID SMARTPHONE KAMA Wi-Fi HOTSPOT. KWA BEI HII NA FEATURES ILIZO NAZO SIO SUALA LA KULALA MIKA KABISA. MNAWEZA KUNUNUA IPAD KWA USD $599 YENYE CELLULAR NETWORK CAPABLE.
   
 19. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Kaka mi naona uko-overexcited kutokana na bei kiasi kwamba umeshindwa kuangalia mambo ya muhimu kama screensize, hako kadudu kadogo sana bana, huwez kukasogeza karibu na ipad, labda wangekawekea 3g kangekuwa kwenye kundi la galaxy note! Hata hivyo sidhani kama ndy th cheapest tablet out there; kama utetezi wako ni price!.....lakini...is it a tablet realy? i see it more of an e-reader, kama kindle, nook na vitu kama hivyo!
  Hapana, Asante!
   
 20. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakishua wakinunue 2
   
Loading...