Toleo jipya la Android kuitwa KitKat na sio Key Lame Pie

Toleo jipya la Android kuitwa KitKat na sio Key Lame Pie

NingaR

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
2,759
Reaction score
594
Toleo jipya la Android 4.4 litaitwa KitKat na sio kama tulivyo talajia kuitwa Key Lame Pie,

KitKat malengo yake ni kufikisha matumizi madhubuti ya Android kwa kila mtu

KitKat.PNG


Historia ya Android iko namana hii

  • Android Beta: Astro
  • Android Beta: Bender
  • Android 1.5: Cupcake
  • Android 1.6: Donut
  • Android 2.0: Eclair
  • Android 2.2: Froyo
  • Android 2.3: Gingerbread
  • Android 3.0: Honeycomb
  • Android 4.0: Ice Cream Sandwich
  • Android 4.1: Jelly Bean
  • Android 4.4 (Next): KitKat

Source: Android KitKat
 
kit kat ile ya chokolate ama kit kat gani hii android?
 
hawa android mbona wanatumia majina ya misosi?
 
website ya KITKAT ina muonekano sawa na wa Android KitKat na tangu kutangazwa kwa jina la kitkat kuwa ni next android watu wametembelea kwa wingi ajabu katika tovuti ya kitkat
 
 
Last edited by a moderator:
Jinsi Google walivyowafawanya blogger wa tech watangaze bidhaa ya kitkat bila kupenda

baada ya kugundua kuwa hakukuwa na ulipaji wa pesa katika kupewa jina la KitKat ila tu nestle walitaka wapewe promo ya bidhaa yao ya chokoleti nikawaza google watawapaje promo jamaa?

bwanaweee, ukistaajabu ya musa utaona ya firauni,
muda mchache tu tangu google watangaze kolabo hiyo, tovuti ya kitkat imepata hit milions worldwide, twitter ni trending topic na almost kila blogu ya teknolojia imeweka makala ya android kitkat 4.4 ikihusisha video ya promo ambayo ipo kwenye tovuti imetazamwa zaidi ya mara
[FONT=arial, sans-serif] elfu 25 ndani ya masaa machache, na sasa chokoleti ya kitkat ndio bidhaa inazungumzwa sana mtandani...

jamaa ni clever sana...
[/FONT]
 
i knew it 😀 XD
.
Why jailbreak when you can get a droid? Thats what i always ponder!! Acha si tuenjoy with our delicious Jelly Bean huku tukisubiri ujio mpya, my guess KitKat 4.4 😉

.

ina maana key lime pie ni rumors tu?
.


zote ni rumor, still bado hakuna official name of the upcoming version. All that's known is that it'll be a name of a Dessert, and begin with a letter "K" kufuatisha trend yao ya desserts after JellyBean!
 
Waooo!! Nami ngoja niingie kwenye ulimwengu wa Android aisee, Im too late
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom