Search results

  1. The secretary

    Everybody hiiiiii.

    Nawatakia siku kuu njema na HAPPY BIRTHDAY WOTE.ujumbe: TAMANII KUBADILIKA
  2. The secretary

    Nami nataka kulivua pendo la Bishanga

    Nipeni ushauri,nataka kufanya application upya
  3. The secretary

    The secretary nimekua

    haya haya asiye na mwana aeleke jiwe Bishanga hana mke leo ana mtoto Mamndenyi njoo na kengele ya watoto unibembeleze leo nimekuachia mume kwa muda nilee vizuri kwa siku ya leo ndo kuzaliwa kwangu
  4. The secretary

    The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

    ni kwa neema ya Mungu amenipa uzima na afya tele katika kipindi chote cha ujauzito Asante Mungu wa majeshi nashukuru kwani wengine wameweza na wengine hawakuweza lakini mimi bwana amenipa uwezo jina lake lihimidiwe namwomba atuongoze kwani safari tuliyo nayo ni ndefu sana.cc: Karucee asante kwa...
  5. The secretary

    Naomba kujuzwa namna ya kupika mtori

    naomba kujuzwa namna ya kupika mtori. cc:@gfsonwin Preta
  6. The secretary

    Nawatakieni heri wana jf wote wanaokwenda tour kesho

    MUNGU awatangulie mfike salama japokuwa mimi binafsi nilipenda sana kuungana nanyi kwa sababu zisizo zuilika nimeshindwa safari njema.MUNGU ATAWALINDA MTOKAKO NA MUINGIAPO AMINA.
  7. The secretary

    KWAKO ERICKB52; wosia wa kufunga mwaka kwako USIVUKE MOTO UTAKUUNGUZA

    Ni leo tena huwa natoa ushauri mara moja kwa mwaka na leo umeangukia kwa kakaangu kijana wa mjini huyu barobaro Erickb52 ambaye huwa ananitaka sana japokuwa sina mpango na kijana asiye Bikra kuwa ASIVUKE MOTO UTAMUUNGUZA kwa kawaida sie walimu wa kiswahili kwa kuzingatia ule msemo wa asiye jua...
  8. The secretary

    Matumizi ya maneno haya

    Watu wengi wamekuwa wakisema 'NACHUKUA NAFASI HII AU FURSA HII ' badala ya kusema NATUMIA FURSA HII AU NAFASI HII
  9. The secretary

    Utumbo kujikunja kunasababishwa na nini?

    Jamani hili tatizo nimekuwa nikilisikia kwa watu lakini sijui chanzo naomba kujuzwa === MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU
  10. The secretary

    Msaada mwanadada anayemtaka Bishanga bure namkabidhi.

    jamani kila mdada nayempa anamkataa hata evelyne salt hamtaki eti ni gunia la misumari naombeni niwakabidhi niweze kuumaliza huu mwaka kwa raha.
  11. The secretary

    barua ya wazi ya kuomba talaka

    The secretary, p.o.box 1, CHIT CHAT. Mwenyekiti wa mahusiano p.o.box 2, jamiiforum. Ndugu...
  12. The secretary

    Naombeni mdundiko urudishwe Bishanga kazidi ushakunaku

    Too bad gfsowin anauguza na Zinduna kaishia wapi sijui namkabidhi hii kazi Madame B naomba unifundie mume kaniudhi kwenye ule uzi wa lofa mmoja anajiita somebody utumbo
  13. The secretary

    Wapi mmenionea Bishanga?

    I miss u Bishanga where are you you it is being a long time Bishanga where are you.
  14. The secretary

    Bishanga pesa zako zinanuka

    Tabia gani hiyo ya kuhonga honga mwanaume asifiwi kwa kuhonga anasifiwa kwa uwajibikaji katika family Asprin Njoo umfunde mwenzio sijamtia machoni toka Idd
  15. The secretary

    Miss Bantu nakutua pwaa kwa Bishanga

    mvute kwako awe wako mileleee na yale madeni yafanye yawe yako milele.love him tenderly mpende Mr Tanzanite
  16. The secretary

    Erickb52 where are u best haya mafao noma

    Tangu hilo tangazo litoke huyu member participation imepungua amekonda kwa mawazo usihofu my sugar in the tea Bishanga atakulipa mafao yako.nakuona unagonga vi like vilivyokonda come front bac
  17. The secretary

    NEWS;kwa niaba ya Bishanga

    Tunatangaza kuwepo na pre-birthday party ya tajiri la kihaya kuanzia leo tarehe mosi mwezi wa nane .angalizo hatuhitaji kamati wahudumu wapo wa kutosha.itakuwa inafanyikia Kilimanjaro hotel hadi siku yenyewe ambayo itafanyikia RUSSIA usafiri utakuwepo wa pipa kwa wale wa mikoani.hatuhitaji...
  18. The secretary

    Chonde chonde kuanzia kesho Bishanga asipewe vishawishi

    kwa niaba yake naomba apewe utulivu katika kukamilisha mfungo wake.sina la zaidi. ban zinahusika kwa watakaokiuka
  19. The secretary

    Where are you?

    from monday to monday baby I'm thinking of you
  20. The secretary

    nisaidieni tatizo la kupata ukakasi muda wote

    Tatizo hili linanisumbua nikila chakula chochote kile au kusafisha meno
Back
Top Bottom