Everybody hiiiiii.

Everybody hiiiiii.

Na wewe pia my dear! Ila naona Bishanga alishaufuata ushauri wako mapema sana kwa kukimbia jukwaa!
 
Last edited by a moderator:
2 you too!! Ila sijaelewa hapo kwenye kubadilika kiviipii? Mana miye mweusi niwe mweupeee??
 
Asante nawe pia tunakutakia sikuku njema yenye baraka na heri.
 
Ahsante kwa ujumbe, nawe pia nikutakie sikukuu njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom