Nami nataka kulivua pendo la Bishanga

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,338
1,225
Ngoja nijifikirie!
Sijui nikustiri !
Ama nikuache na kilalo chako!
Kwanza uko tayari kukaa ukewenza? Hutonikondeshea utakae mkuta ?
 

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,338
1,225
Afu wewe The secretary wakati flani nilipata kuumwa skio , kwamba wewe u'mahiri ktk "ukunaji wa Nazi" nini kauliyo ktk hilo ?
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom