The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
from monday to monday baby I'm thinking of you
bora umetambua hilo
Nigongee like......huwezi jua naweza kuwa kidumu
SITAKI. Nipe jina la hiyo thread sijaitia hata machoni
SITAKI. Nipe jina la hiyo thread sijaitia hata machoni
Si itoshe tu kwa hivi umeitia sikioni?
Mpaka na machoni?
Mpaka moyoni
Eti eeh ? Mpaka kunako!
kunako babuu raha yake hiyo
Naomba niage ku'step aside, kunako Uzi naona kwa mbaaali nimeanza kupapaswa mgongoni , so far tha's a signs tunda-kisosini natengewa soon! Yaani "laa-mpaa-looni "
chaoo!