Search results

  1. Edoedward1

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Sijui nimetokea mtaa gani huu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Edoedward1

    Hodi tena

    Bwana wee, nikirudi dar ntabeba Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Edoedward1

    Hodi tena

    Me siyo mgeni sana,naomben mnipokee Mwenyeji wa mbeya nikaribisheni nipo pia hapa wiki moja Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Edoedward1

    Mwanaume wa kuzaa nae!

    Pm
  5. Edoedward1

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Is this Q-net? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Edoedward1

    Wewe ni nani?

    Nijuavyo as a human being with the spirit, huwezi kuwa independent, kwa asili binadam lazima awe associated na nguvu flan ambayo ni super power.
  7. Edoedward1

    Mwanasayansi nguli Stephen Hawking adai baada ya miaka 1,000 Dunia itateketea

    Je mwanao, mjukuu au vitukuu kama sio vilembwe..selfishness
  8. Edoedward1

    Huyu Dogo karudi tena...

    Daaah kama miaka miwili iliyopita alitoa wimbo wake nilioupenda sana, kuna watu wana vipaji,sas nimeiona wimbo wake mpya mtam pia nkaona sio mbaya kumsapot kiivi...icheck pia to see if its worthy
  9. Edoedward1

    Hivi wewe hua UNAJISIKIAJE?......

    Huwa napata jibu kwamba tafakuri yangu haina mvuto ama sikucheza na maneno vzuri.
  10. Edoedward1

    Biashara matangazo!

    Duuh hiv hawa wanaotangaza hv huwa wanapata wateja? Maana nathan everyone would be shying away kwa kuthan tayar wameshamtangulia kibao
  11. Edoedward1

    Baadhi ya wanawake wanadanganya wamefika kileleni

    Khaaah kwahiyo unahitaji zaidi ya cku kujenga hisia? Mmh th frst tym am hearing this.
  12. Edoedward1

    Let's play a game

    I love a clown
  13. Edoedward1

    Nimewakuta wanajipanga!!!

    Nacheka sio kwamba ni mazuri aah, ila naona maigizo ya kitoto kwa watu wazima
  14. Edoedward1

    Quality Group yamaliza utata kuhusu sukari nchini

    Kaeni tayar kuwapokea wahindi mambumbumbu ila wakiitwa wataalam kama wale wa American supermarket
  15. Edoedward1

    Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    Kwahiyo waalimu wanatafta justice? Jamii imara na yenye maadili haiwez kujengwa na Adults(waalimu) kuepuka kuwajibika kwa kutafta justification of wrong deeds, ukweli ni kwamba waalim wa mbeya day walitenda kosa na wanastahili kuwajibika kwa haki, na sio kutafta ushahid wa kuhalalisha uovu...Ni...
  16. Edoedward1

    Rais Magufuli amtishia mtoto wa dada’ke

    Kwa mikwara mtufuku hajambo
Back
Top Bottom