Search results

  1. N

    Watanzania nia wa CCM na nyimbo za marehemu Komba

    Kwa wale waliofuatilia watangaza nia wote wa CCM wamepamwa na nyimbo za marehemu Komba. Swali la kujiuliza ni je CCM ndiyo wenye hati miliki ya nyimbo hizo? Na kama hawana hatimiliki je familia yake wanapata chochote kutoka kwa wagombea au chama? Nauliza hivi kwa kuamini kuwa akina Diamond...
  2. N

    Ni wakati gani mapinduzi ni halali?

    Leo ni siku ya mapumziko kwa Tanzania. Mapumziko haya ni kuadhimisha Mapinduzi yaliyofanyika Zanzibar tarehe 12 Januari 1964 kuondoa uongozi wa Sultan kwa wakati huo. Je kwa kuendelea kuenzi mapinduzi tunajifunza nini kwa utawala wa leo? maana nijuavyo mapinduzi siyo kitu halali hasa katika...
  3. N

    Bunge liunde kamati ya kupitia mikataba ya uwekezaji ya kimataifa

    Ni dhahiri kuwa bunge la Tanzania lina wabunge wachache wenye uwezo wa kuchambua mambo na kuleta ujumbe wenye maana. Pamekuwepo kelele nyingi za kutaka mikataba ya kimataifa kuidhinishwa na bunge kabla ya kusainiwa, lakini je hiyo capacity wanayo? Au wengine ni bendera fuata upepo tu? Tumeona...
  4. N

    Kuomba muda zaidi kuchangia taarifa ya Escrow (IPTL)

    Jana Mhe. Lusinde aliomba Bunge kuongeza Muda wa kujadili taarifa ya Escrow (IPTL) kuliko uliopangwa sasa. Je unadhani hilo ndiyo suluhisho? Binafsi nadhani kutoa muda zaidi ni kutaka kupotosha ukweli. Kwa kuwa taarifa ipo na imetoa mapendekezo kinachotakiwa kutolewa na Kamati ya Zitto ni...
  5. N

    Ccm wanamkomoa lowasa au wanampaisha?

    Katika siku za karibuni malumbano juu ya anachokifanya Bw. Lowasa na kutafsiriwa kama safari kuelekea urais inazidi kuongezeka. Pamoja na chokochoko nyingi Mhe. Huyu hakuwahi kujibu mapigo ya au kukubali au kukanusha shutuma dhidi yake. Kwa tafsiri ya haraka na kimantiki ni kuwa anaelewa kelele...
  6. N

    Maalim Seif Akutana na Wazanzibar wanaoishi Dar (Bara), Tanganyika

    Katika taarifa zilizopo kwenye blog ya Michuzi leo ni hii ya Maalim Seif Kukutana na Waziabar wanaoishi Dar na kufanya nao mazungumzo. Huyu ni kiongozi mkubwa wa Serikali, nijuavyo mimi tangu Aprili 26, 1964, Utanganyika na Uzanzibar ulikufa tukawa na Watanzania. Je hii inadhihirisha ukweli...
  7. N

    Viongozi wetu wa Vyama na Serikali Watapokea Taarifa za Mshituko hadi lini ili wachukuwe hatua?

    Katika siku za karibuni imekuwa kawaida kwa viogozi wetu(vyama na Serikali) kutoa kauli za kuwa wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za matukio mbalimbali hasa yanayohusisha watu/mtu kuuwawa kikatili au kujeruhiwa kama ilivyotokea kwa Dkt. Ulimboka, Kibada, padri, Mushi na wengine wengi...
  8. N

    Hii ndiyo kauli ya msomi na waziri wa elimu Tanzania juu ya matokeo form four

    “Matokeo ya mwaka huu yamekuwa mabaya sana, Serikali tunasikitika kutokana na hali hii lakini tuna mipango mbalimbali ya kuhakikisha tunaweza kutatua hili tatizo,” alisema Dk. Kawambwa. Mwisho wa kunukuu Hapo ndiyo amesikitika mpaka basi, na wala hausiki wa hali iliyotokea. Upo uwezekano...
  9. N

    Kwa matokeo haya ya kidato cha nne Kawambwa anasubiri nini ofisini?

    Kati ya watahiniwa 480,036, waliofanya mtihani wa kidato cha nne matokeo ni kuwa waliopataDivision One: 1,641; Division Two: 6,453; Division Three: 15,426; DivisionFour: 103,327; na Division Zero: 240,903. Katika hali ya kawaida ni kuwa zaidi ya nusu ya wanafunzi wamefeli. Aidha, kama...
  10. N

    Wizara ya Afya na ARV Feki Nayo ni Siasa Chafu?

    Ndugu zangu nadhani wote tumesikia sakata la kusambazwa kwa dawa feki za ARV na inasemekana kiwango kikubwa cha dawa hizo feki zimesambazwa na zinatumika. Kwa kuwa dawa hizi kwa kiwango kikubwa hutolewa bure na serikali katika hospitali nyingi za serikali nini malengo ya wahusika? Je Tanzania...
  11. N

    Utaratibu wa Kufungua Shule (elementary and Secondary Level)

    Naombeni mwenye kufahamu utaratibu wa kuanzisha shule Tanzania kwa foreigners unakuwaje. Nahitaji kufahamu mwekezaji anahitaji kuwa na vitu gani ie land, capital, etc na utaratibu wa jumla.
  12. N

    Maisha Bora na Maslahi ya Taifa

    Great Thinkers naomba kuelimishwa maana halisi ya maneo haya ambayo yamekuwa yakitumiwa sana na wanasiasa na viongozi wetu Maisha Bora kwa Kila Mtanzania na Maslahi ya Taifa.
  13. N

    Baraza la wawakilishi Zanzibar latetea matumizi ya bendera ya taifa kwa meli za Iran

    Wakati mataifa ya Magharibi yanatishia kuiwekea vikwazo Tanzania kwa kuruhusu usajili ya meli za mafuta za Iran na kutumia bendera ya Taifa, baraza la wawakishi Zanzibar, limesema Zanzibar kama sehemu ya Muungano wa haki ya kusajili meli ya Iran au nchi yoyote ile kwa maslahi ya Wazanzibar na...
  14. N

    Taarifa za sensa ya nchi ni siri na zinatumika kwa shughuli maalum za maendeleo

    Katika mawasilisho ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu inayoendelea hivi sasa, ameeleza kuwa taarifa za sensa ni siri na matumizi yake ni siri na kwa ajili ya maendeleo ya nchi tu na si kwa ajili ya dini fulani au asasi yoyote yenye nia tofauti na iliyokusudiwa.
  15. N

    Rais na kikao cha baraza la mawaziri leo Dodoma

    Baada tu ya Bajeti 2012/2013 kuwasilishwa Mhe. Rasi JK anaendesha kikao cha baraza la mawaziri. Bado tu wanapewa semina elekezi, hazitosha? wafanye kazi sasa, hizo ni gharama ambazo zinaweza kuepukika.
  16. N

    Bajeti imewasilishwa; Anayetaka namba maalum kwenye usajili wa Gari 5mil

    Mh. Waziri wa fedha amemaliza kuwasilisha bajeti moja ya kitu kipya ni usajili wa magari kwa namba maalum (ie jina lako)unalipa mill 5, Great Thinkers nini mtazamo wako, je ni kuaisha wenye uwezo waonekane hata katika plate namba za magari yao au lengo ni kukuza mapato ya serikali bila kuangalia...
  17. N

    Baada ya Bw. Ekelege kuondolewa Kunadhamira ya kweli kuboresha utendaji wa TBS

    Hivi karibuni Bw. Ekelege aliyekuwa Mkurugenzi wa TBS aliyechukua nafasi yake ni Bi. Kenzia Mbwambo, mkurugenzi wa Udhibiti ambaye katika picha hii alikuwa na Bw. EKELEGE Japan na Beijing, waliporudi wakaandaa taarifa ya kupinga ile ya Kamati ya Zitto, je huyu mama atakuwa na dhamira ya kweli...
  18. N

    Je tanzania kuna demokrasia?

    Katika gazeti la mwananchi kuna makala iliyozungumzia demokrasia na kubainisha kuwa Demokrasia haina maana kama haiendi sambamba na kuwaletea wananchi maendeleo. Ukiangalia mwenendo wa siasa za Tazania neo demokrasia linatamkwa mara nyingi sana, na kuwa Tanzania ni moja ya nchi inayojivunia...
  19. N

    Ushauri kwa mawaziri wapya

    Pamoja na changamoto nyingi ambazo zinawasubiri katika sekta walizochaguliwa kuzisimamia, hasa ukizingatia mchwa walikuwa wamezichakaza sana, ni vyema wakati wote wakumbuke waliingiaje katika nafasi walizonazo, wakumbuke kuwa sababu kuu ilikuwa ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi. Hivyo...
  20. N

    Baada ya kuondolewa Uwaziri, Ngeleja akamuombe Msamaha mlinzi wa benki aliye mfukuzisha kazi

    Bw. Ngeleja akiwa waziri alitamani na aliamini kila mtu ni lazima amtambuwe kuwa yeye ndiye Waziri hata pale anapokiuka taratibu za kazi kwa tasisi zingine. Kumbukeni alivyosababisha kumfukuzisha kazi mlizi wa benki moja aliyemwambia hairuhusiwi kuongea na simu kwenye ATM.
Back
Top Bottom