Taarifa za sensa ya nchi ni siri na zinatumika kwa shughuli maalum za maendeleo

Njoka Ereguu

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
821
335
Katika mawasilisho ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu inayoendelea hivi sasa, ameeleza kuwa taarifa za sensa ni siri na matumizi yake ni siri na kwa ajili ya maendeleo ya nchi tu na si kwa ajili ya dini fulani au asasi yoyote yenye nia tofauti na iliyokusudiwa.
 
Viongozi hao.
Mbona mimi jirani zangu wote wanajua Familia yangu ina watu wangapi na sijaona napata tatizo lolote lile, usiri wa nini?
 
Back
Top Bottom