Search results

  1. NAPITA

    Natest Mitambo (Kitambo sana)

    Kama kawaida kwenye Kombe la Dunia huwa nawaletea picha na matukio yanayoendelea ndani ya uwanja na nje ya uwanja bila kusahau mitaani wakati wa Kombe la Dunia kwa wale wahenga wa Jamii F wa jukwaa la Picha wanajua sasa tutaanza kuwa pamoja kama kawa.
  2. NAPITA

    Hilo neno maana yake nini?

  3. NAPITA

    Picha LA kibabe

  4. NAPITA

    Tanzania on Twitter (TOT)

    Mimi ni mmoja wa mtumiaji wa mtandao wa Twitter karibu wiki nzima iliopita kuna uchaguzi uliokuwa unaendelea huko twitter kumchagua Rais wa Twitter Tanzania kama walivyotolea maelezo kwenye vituo vya redio na tv wahusika wa jambo ilo. Ni jambo zuri sana na mimi nalipongeza ilo na pia napongeza...
  5. NAPITA

    Ester Bulaya akamatwa na Polisi jijini Mwanza

    Mbunge wa jimbo la Bunda,Ester Bulaya amekamatwa na Jeshi la Polisi jijini Mwanza na kulazimika kulala rumande baada ya kunyimwa dhamana. Polisi walivamia Hoteli aliyofikia mbunge huyo na kumkamata majira ya saa 7 usiku na kisha kumpeleka kituo cha kati cha Jijini Mwanza akiwa ameambatana...
  6. NAPITA

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    TANZIA: Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni. CCM Wameandika kwenye twitter yao. Historia Fupi ya Marehemu John Komba Marehemu Kaptain Komba alizaliwa Marchi 18 mwaka...
  7. NAPITA

    Zanzibar Protectorate

  8. NAPITA

    Ujumbe uliotakiwa uendane na picha hii umpotea ghafla

    Tafakari uzuri wa rangi. Siku njema
  9. NAPITA

    Sipendi Paka ila huyu wa Green nimempenda.

  10. NAPITA

    Picha za #WorldAIDSDay pamoja na ujumbe.

    Wewe unaweza kuandika au kuweka ujumbe wako hapa kuhusiana na siku hii ya UKIMWI DUNIANI.
  11. NAPITA

    Vaeni kieshima mnapokuwa mbele ya kadamnasi na Baba yenu.

    Vinguo vya watoto wa Obama vyazua Jambo.
Back
Top Bottom