Vaeni kieshima mnapokuwa mbele ya kadamnasi na Baba yenu.

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,243
maliasashaobama_thanksgiving.jpg
Vinguo vya watoto wa Obama vyazua Jambo.

addv2fsw5qjdsndfszjs.jpg
 
Mambo si ndo haya sasa Mi iko penda sana nyie sema umri ndo ushanitupa mkono ha!ha!ha!
Michelle-Obama-looked-resort-chic-striped-dress-patent.jpg Sasha+Obama+Dresses+Skirts+Sundress+XOCVsh27U4Ml.jpg
 
Wakati mwingine kuna watu wanamatatizo sana wananchi wanaona sawa tu yeye kimemkeleketa haya . NAPITA taklibani wiki moja sasa sijakuona humu ndani vipi Dodoma ilikuficha sana mkuu wa kazi
 
Mimi siwalaumu watoto wa Obama kwa sababu nao ni wanawake kama wanawake wengine tu.
Kumbuka wanawake wote wanaoriginate from the same ancestor, hivyo mavazi yao ni aina mbili.

1. Mwanamke anapenda kuvaa nguo za kubana na fupi

2. Mwanamke anapenda kuvaa nguo kubwa kuliko saizi yake kwa kigezo kua ni fashion mpya.

Wanawake wanaovaa nguo zinazowatosha vizuri ni wachache nadhani hawa wachache watakua wamepitiwa na divergence evolution.
 
Sometimes don't bother with people's life, hivi marekani nayo ni nchi ya kuipigia kelele kuhusu mavazi! Kiruuuuuu
 
Na uchi wavae wakiwa wapi??
Nahisi wajiheshimu kilasehemu
 
Mijitu humu ndani inawaza ngono tu, yaani hivi vi teenagers mnavitolea macho kweli... Hii sodoma na Gomorrah sasa jamani imagine ndio mabinti zako halafu jitu moja linawaza kusikilimishwa duuuh
 
Back
Top Bottom