Search results

  1. K

    Rais na Katiba ni kipi kipo juu ya mwingine?

    Katiba ama Rais wa jamuhuri ya Tanzania siujui kipi kipo juu ya mwingine! Mimi nilidhani katiba, maana kwa anayejaribu kuivunja katiba adhabu yake ni ndogo sana kumzidi anayetaka kumpindua rais! Mjadala kwamba katiba ikiukwe ili ukomo wa rais uondolewe, sioni una tofauti ipi na mjadala kuwa...
  2. K

    Ujio wa Klabu ya Everton ni fursa ya utalii kwa Tanzania

    Hamna asieujua ukubwa na umaarufu wa club ya Everton duniani, hivyo ujio wake hapa nchini ni fursa kubwa sana kwa wizara na bodi ya utalii kuitumiai. Watu wengi hulipia matangazo yao ya biashara ili zifahamike kwa walaji wengi, lakini sisi Tanzania kwa ujio wa hii club na mchezaji maarufu kama...
  3. K

    Lema alitumikie kosa lake, ila kwanini wenzie wapo uraiani?

    Mkuu, alichokifanya Lema sijakipenda hata mimi na wala siyo jambo jema kumtabiria mtu kifo! Kama kuna sheria ya kumsagasaga Lema na kuwa kama unga wa mahindi ningeunga mkono tu! Swali moja najiuliza, EL alitabiriwa kifo mara nyingi sana, na waliomtabiria kifo wapo na wanajulikana, je sheria...
  4. K

    Eliakim Maswi aondolewa TRA na kupelekwa Manyara kuwa Katibu Tawala Mkoa (RAS)

    Rais John Magufuli amemrejesha bwana Eliakim Maswi kuwa katibu tawala wa mkoa wa Manyara baada ya kukamilisha kazi maalum aliyomtuma katika mamlaka ya mapato Tanzania(TRA). Kabla ya kurejeshwa, bwana Maswi aliteuliwa kuwa Kaimu naibu kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania(TRA). Katibu mkuu...
  5. K

    Wapi nitapa Polyurethene liquid Tanzania?

    Wadau heshima kwenu! Nauliza, ntapata wapi Polyurethene Liquid kwa ajili ya kutengenezea mold? Navyofahamu zinakuwa aina mbili za vimiminika ambavuo baadaye vitaganda baada ya kuvichanganya kwenye shape unayoitaka! Shukrani!
  6. K

    Suluhisho la foleni katika jiji la Dar

    Ili kupunguza foleni katika jiji la Dar es Salaam, nashauri Serikali itawanye makao makuu za Wizara katika mikoa mbalimbali nchi nzima! Mkoa wa Dar es Salaam kipekee kabisa umekaliwa na wizara zote, hivyo wafanyakazi na taasisi zake wapo Dar es Salaam! Mabenki, na makampuni mengine mengi...
  7. K

    Magaidi hewa waua mjadala wa Escrow?

    Tangia ajenda hewa ya magaidi hewa ambao baadaye waligeuzwa kuwa majambazi ilipoingia humu jamvini, pengine hata katika vyombo vingine vya habari nchin imepelekea mjadala wa ESCROW ACC, uuawe?! Picha feki za mapambano ya polisi na wanajeshi dhidi ya hao majingili, zimekuwa zikibishaniwa...
  8. K

    Mwakyembe amehamishwa yeye na Treni yake

    Ni kawaida yetu Waafrika tulio wengi, mzazi anapofariki (kama ana miliki biashara), basi na biashara alioiacha nayo itakufa! Dalili zimeshaanza kuonyesha, kuhamishwa kwa Mh. Mwakyembe kwenda wizara nyingine, kutafifisha miradi na sera zake zote.....na pengine kumvunja moyo huyu muheshimiwa! Ni...
  9. K

    Watanzania watatu mbaroni Afrika kusini katika Jaribio la Mauaji wakishirikiana na Wanyarwanda!

    Watu sita wanashikiliwa na maafisa wa serikali ya Africa ya Kusini, wakiwepo watanzania watatu katika jaribio la mauji ya Jenerali Kayumba Nyamwasa! ------------------------------------------------------------------------------------------------------------- JOHANNESBURG - South Africa and...
  10. K

    South Africa declared 5 days of mourning for Nyerere!

    Africa ya Kusini ilitangaza siku (5) tano za maombelezo ambapo bendera zilipepea nusu mlingoti! Tumuunge mkono Jk kwa maombelezo ya siku tatu ya nchi yetu juu ya kifo cha Madiba! ....If Mwalimu Julius Nyerere had been the founding father of South Africa and not Tanzania, he would hardly have...
  11. K

    Clouds FM: Hakuna nyumba za viongozi zilizochomwa moto!

    Kwa mujibu wa habari zilizoripoitwa na Clouds FM kama "Breaking News" muda huu, ni kuwa hakuna nyumba za viongozi zilizochomwa moto katika vurugu za Mtwara, kama ilivyo ripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari. Habari hii inatokana na radio hiyo kuwanukuu baadhi ya viongozi mkoani humo. Kwa sisi...
  12. K

    TBC1 na habari ya kusafirishwa kwa Dr. Ulimboka

    Kwa mara nyingine tena TBC haijarusha taarifa ya kusafirishwa Dr. Ulimboka, wana harakati waliyozungumza juu ya tukio lile. Ningependa pia kujua mchango wowote uliotolewa na serikali katika kufanikisha safari ya matibabu ya Dr. Uli....! Kama hakuna jitihada yeyote, ni kwanini? Kama hakuna...
  13. K

    Intelejensia, usalilti na mateseso kwa Dr. Ulimboka

    Intelijensia iliolala na yenye mawazo mgando ikidhani kuwa kumuua Dr. Ulimboka au kumtesa itawaogopesha madaktari ili warudi kazini. Waliofanya hivyo waliaminishwa ama na madaktari wenzie kuwa suluhu ya ili mgomo ufikie kikomo, ni kumwua Dr. Ulimboka (kwakuwa wao hawahitaji mgomo isipokuwa...
  14. K

    Watanganyika tuamkeni...

    Ilianza na Abdurahman Babu, alipoonekana hataki muungano pamoja na mambo mengine, akapoozwa kwa kupewa uwaziri Bara. Hata Makamu wa kwanza wa mjomba hakuwa anapenda muungano, akapoozwa, sasa hivi swaaafi pamoja na wengine wengi mnao wajua! Jusa siyo tu kama ni mbaguzi, lakini anajua wazi...
Back
Top Bottom