Rais John Magufuli amemrejesha bwana Eliakim Maswi kuwa katibu tawala wa mkoa wa Manyara baada ya kukamilisha kazi maalum aliyomtuma katika mamlaka ya mapato Tanzania(TRA).
Kabla ya kurejeshwa, bwana Maswi aliteuliwa kuwa Kaimu naibu kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania(TRA). Katibu mkuu kiongozi amesema Rais amefanya mabadiliko hayo kwa lengo la kumtafuta mtu mwenye utaalamu wa kuendeleza kazi iliyofanywa na ndugu Maswi.