Mkuu, alichokifanya Lema sijakipenda hata mimi na wala siyo jambo jema kumtabiria mtu kifo! Kama kuna sheria ya kumsagasaga Lema na kuwa kama unga wa mahindi ningeunga mkono tu!
Swali moja najiuliza, EL alitabiriwa kifo mara nyingi sana, na waliomtabiria kifo wapo na wanajulikana, je sheria imewafanya nini hao wengine waliofanya kosa kama la Lema? Kwanini na wao wasingekuwa gerezani hadi sasa kujibu mashtaka ama kutafuta dhamana zao?
Mchungaji Lusekelo, mzee wa Upako, alitabiria watu kifo hadi ikifika "march" mwaka huu wasipo kufa atauza gongo! Vipi sheria hapa mbona haitii amri bila shuruti?