Search results

  1. Fanton Mahal

    Mabinti wahitimu wa vyuo Amkeni

    Ni kwel uko sahihi kamanda
  2. Fanton Mahal

    Waajiri wanawapa wakati mgumu wahitimu wa vyuo kutafuta kazi

    Zama zimebadilika kabisa, na sisi wazazi hasa wa kuanzia miaka ya 1980's ndio tunawalea watoto kama ambavyo sisi tulilelewa kwa kuwaambiwa waende shule kusoma ili wapate kazi. Kwa mtindo huu tunatengeneza taifa tegemezi.
  3. Fanton Mahal

    Waajiri wanawapa wakati mgumu wahitimu wa vyuo kutafuta kazi

    Tuwajenge watoto katika uhalisia kwamba wakihitimu masomo wajifunze kujishughulisha na vitu vingine kama biashara waache kutegemea kuajiriwa.
  4. Fanton Mahal

    Mabinti wahitimu wa vyuo Amkeni

    Sio lazima uandaliwe mazingira. Umepelekwa ahule mpaka chuo kikuu sasa hapo unataka mazingira ganj labda mengine kamanda?
  5. Fanton Mahal

    Mabinti wahitimu wa vyuo Amkeni

    Inasikidisha kwakwel. Lakin baya zaidi ni kwamba vijana wengin wanakosa utayari wa kujitoa , hata ukiwapa kazi hawana morali wala juhudi wala nidhamu, unaishia kuwaangaliaa na kusikitika. Maisha ya fasta fasta kwa kiwango kikubwa yamewaathiri, hawana utayari kabisaaa wa kujipa muda wa...
  6. Fanton Mahal

    Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

    huwa kuna kitu kinaitwa facts halafu kuna kingine huitwa opinions. Sio rahis sana kuvitofautisha hiv viwil maana mara nyingi hutegemeana sananna mtazamonwa mtu/watu kuhusu a particular subject. But kuna namna ya kujua kipi ni kipi na njia bora yabkufanya hivyo, u just check the numbers. Numbers...
  7. Fanton Mahal

    Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Mkuu vitu vingine sasa mbona inakua kama unaongea stories tu, how come this now??
  8. Fanton Mahal

    Kiufundi siioni kabisa Simba SC ya Kuifunga Yanga SC iliyo bora ndani na nje ya Uwanja katika Derby ijayo

    Mnamkalishaje pembeni wakat mshamoa his over 45% ya umiliki. Haya ni mambo ya kimikataba na ili hilo liwezekane ni yeye kuamua kuuza hizo hisa kwa hiyari yake au hisa zenu hizo za over 50% mumuzie muwekezaji mwingine awe na nguvu kuliko Mo na nyie mbaki na 0,muwe washabiki rasmi
  9. Fanton Mahal

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Mbona habari kama haijitoshelez flan , haina ushahid wenye mashiko
  10. Fanton Mahal

    Imebidi nihamie kwangu ghafla kumkwepa mdada kausha damu

    EHeheh...sijui kwann kuombana ombana hela huwa inazuaga vipengele!? 😂😂😂
  11. Fanton Mahal

    Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

    So inawezekana hata siku ya kusurubiwa Kristo yale masaa 3 iligongana na siku kama hii?
  12. Fanton Mahal

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Hii ni personal sana mkuu, kumkashifu mtu kwa opionion zako binafsi
  13. Fanton Mahal

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Ahaha umewaza siko kabisa chief. Ni mtu wa kawaida kabisaa hana maisha haaayo ni humble person kaz yake ni driver wa halmashauri..hana biashara kusema kafanya kafara. Ni mtu wa average kabisa. Na hii kitu mpaka leo huwa inam stress sana kuna muda unaona kabisa hayuko sawa
  14. Fanton Mahal

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Naukumbuka huu uzi.ilikua ni dodoma si et?
  15. Fanton Mahal

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Huwa namkumbuka sana. Alikua anaitwa Liven walilua ni mapcha na dada ake Anaitwa Given
  16. Fanton Mahal

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Mtoto wa nduguyo ni wako. Kwa mzazi yeyote lazima ataelewa hii feeling
Back
Top Bottom