Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

Wewe kweli una mwaka mmoja au, miaka kadhaa iliyopita watu walimiminika mbarali Mbeya kwenda kushuhudia kupata kwa jua, mida ya saa sita mchana ulikuwa ujazaliwa.
huko si mbarali mkuu, huku kwetu mm sijawai shuhudia tukio hlo, ndo maana nimemuomba rais safar nyingine alilete huku kwetu ili nishuhudie live.
 
Leo jua litapatwa yaani mwezi utafunika jua na kufanya mchana giza litande na uonekane kama usiku lakini kwa asilimia kubwa maeneo watakayofaidi ni marekani Canada na Mexico. Nchi nyingine tutaona angalau kupatwa kwa jua Kwa sehemu tu.
Huko marekani si kutakuwa usiku na wamelala?
 

Attachments

  • Screenshot_20240408-055254.png
    Screenshot_20240408-055254.png
    654.2 KB · Views: 1
Tunaishukuru serikali chini ya uongozi wake Rais S Hassan kwa kufanikisha kupatwa kwa jua. Tunaomba wakati mwingine muda uongezwe jua lipatwe siku nzima ili wananchi tufaidike. Asante.
 
Natamani Sana ningepata nafasi ya kushuhudia!!
Hivi hutokea kila baada ya muda gani??
 
Back
Top Bottom