Search results

  1. kitalolo

    MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    Pia itasaidia kupunguza makaratasi kwenye kioo kama sticker ya fire ilivyounhanishwa kwenye road lincence,mfano mzuri ni magaya biashara na haswa P. S. V kuna sticker za kufa mtu kwenye kioo mara sumatra, road licence, insurance, sticker ya kuonyesha kwamba umelipa kodi ya mapato, na kulikuwa...
  2. kitalolo

    Nchi gani hii?

    Kenya
  3. kitalolo

    Leo ni mwendo wa matusi tu!

    usimtusi mtusi matusi ya kutusi ukimtusi mtusi matusi ya kutusi mtusi atakutusi matusi ya kutusi
  4. kitalolo

    Leo ni mwendo wa matusi tu!

    Haya ndiyo matusi halisi na ndio maana mtusi anaweza kukutusi matusi ya kutusi
  5. kitalolo

    Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    kwanini kuwasingizia mamod??? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/800232-kikwete-atakaye-peperusha-bendera-ya-urais-ccm-atatokea-kwa-majaji.html
  6. kitalolo

    Nani anawapa hawa jamaa vifaa !?

    Hawa jamaa ndio wanasababisha hata bei za pickup ziwe juu aisee yaani watu tnatafuta pickups za kupigia za kubebea mizigo wao wanachukua za kufungia machine gun
  7. kitalolo

    Kina kaka jamani mbona mnasikitisha kiasi hiki?

    C.Thady 1. Inawezekana ikawa kweli 2. Inawzekana ikawa uzushi Sababu ya kwanza kwamba ni kweli ni kwasababu siku hizi wanaumwenao washakua chakula kama vyakula vingine hivyo sio ajabu , na kwa nchi za wenzetu mwanaume anajivunia kabisa kwamba na yeye ni wali maharagwe hivyo ruksa kulia kama...
  8. kitalolo

    Picha Mayweather vs manpac itakuwa hivi

    umeshachukuamikundu yako
  9. kitalolo

    Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

    https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/840813-kabla-ya-kuzaliwa-na-baada-ya-kufa-sisi-wanadamu-tunakuwa-wapi-education-is-power.html jamaa yuko nje ya mwili saahizi naona amesahau kukutag akirudi kwenye nomal astra atakuja na mada nyingine nmona nikusaidi kwa kukupa link kama hujaiona
  10. kitalolo

    Elections 2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

    nataka kujiunga na timu lowasa nime mchakato niko hapa arusha tuijenge kambi lowasa na kuibomoa chadema hapa arusha.
  11. kitalolo

    Udhaifu wa baadhi ya wanaume wa kibongo upo kitandani

    hawa wadudu washenzi kwelikweli. wengi wao wanawasema waume zao au maboy friend zao sasa wakajua wote tuko hivyo ndio maana mke wa mtu akitoka nje ya ndoa anaweza asirudi maana huenda ndani wanakutatana na vitu vya ajabuajabu mtu kama kaolewa na mbeba mizigo kariakoo anarudi jini anapitia...
  12. kitalolo

    Zamani ilikuwa raha

    yeh umenikumbusha mandazi ya idd aisee ilikuwa tunaletewa sufuria nzima
  13. kitalolo

    Tupia jina la dawa ya kienyeji na matibabu yake!

    juice ya ngano. unatengeneza kitalu kama bustani kama sehemu ni ndigo chukua hata kasha la kupanga chupa za soda, bia au nyanya, jaza udongo piga vijimistari kila baada ta sentimita mbili, kisha sia mbegu za ngano mwagilia kwa siku ku mpaka kumi na nne kisha vuna saga kwa masine ya blender...
  14. kitalolo

    Siri ya supu ya pweza !

    hawataki kuniambia mpaka leo nikuuliza wanaishia kucheka tu. weee acha kabsha siku hiyo hicho ilio kilikuwa sio cha kawaida mi sikujua kama atapona
  15. kitalolo

    Gari yako nimepata nayo ajali

    Gawaneni hizo riski na mistuko itakayowaletea mioyo kusimama na makapuni ya bima jamani. Hata bila kuazima magari ukiwa nalo mwenyewe unakuwa na amani madhali umeyoka mzima basi una uhakika wa kulibwa garama za matengenezo au gari nyingine kwa garama ambayo sio kubwa kwako. Jamaa alipaki gari...
  16. kitalolo

    God vs satan

    am for satan
Back
Top Bottom