Picha Mayweather vs manpac itakuwa hivi

Kumbe unajua katika michezo huwa kuna droo, sasa kwa nini mwanzoni ukanipinga kuwa hakuna game isiyo na mshindi?

Droo huwepo katika mechi isiyo involve any elimination na huesabika kama official results...

Hii kitu uliyoandika hapa huwa haifanywi katika proffesional boxing hata siku moja...

Points zikilingana inahesabika kama ni matokeo suluhu na huingia katika rekodi ya kila bondia...

Bondia ambaye hatakuwa ameridhika yaani kama alikuwa anawania mkanda then ataomba rematch ambayo itakuwa ni mechi mpya kabisa na siku tofauti...

Katika masumbwi ya ridhaa haswa kwenye elimination stages kama zile za commonwealth, olympics etc ndio huwa wanaongeza muda in case kuna mlingano wa points...

Hivyo usishangae nilivyoandika kuwa Pac na May wanaweza wakatoka droo...coz hiyo ni pro boxing na droo ni sehemu ya matokeo...

Mkuu point ya draw ipo sikatai lakini soma hapa ili utoe ushamba kidogo.

The March 1999 heavyweight unification bout between Evander Holyfield and Lennox Lewis at Madison Square Garden is an example of a draw where all three judges had scored the fight differently, with Eugenia Williams favoring Holyfield, Stanley Christodoulou favoring Lewis and Larry O'Connell calling the fight a draw. The result led to calls for an immediate rematch between the two fighters.[1] The extremely rare majority draw results when two out of the three judges call the fight even, which means the fight will be called a draw regardless if the third judge favors one fighter There are some scoring systems used in boxing make it impossible for a judge to award equal points for a match. If a championship bout ends in a draw, the champion usually retains the title
 
May huwa namkubali sana ila kwa huyu mbunge wa ufilipino sidhani kama atatoka tena mayweather ana ile filosofia ka ya mourinho ya kudefence aka kupaki basi Mmmhh ngoja tuisubirie hio siku
 
Baada ya kusoma maelezo yako na huo mfano wa mechi ya Lennox, nimegundua mimi na wewe tunafahamu kitu kimoja isipokuwa namna ya kukielezea ndio tunapotofautiana...

Sasa nimekuelewa una maana gani, pamoja mkuu...

Mkuu point ya draw ipo sikatai lakini soma hapa ili utoe ushamba kidogo.

The March 1999 heavyweight unification bout between Evander Holyfield and Lennox Lewis at Madison Square Garden is an example of a draw where all three judges had scored the fight differently, with Eugenia Williams favoring Holyfield, Stanley Christodoulou favoring Lewis and Larry O'Connell calling the fight a draw. The result led to calls for an immediate rematch between the two fighters.[1] The extremely rare majority draw results when two out of the three judges call the fight even, which means the fight will be called a draw regardless if the third judge favors one fighter There are some scoring systems used in boxing make it impossible for a judge to award equal points for a match. If a championship bout ends in a draw, the champion usually retains the title
 
Baada ya kusoma maelezo yako na huo mfano wa mechi ya Lennox, nimegundua mimi na wewe tunafahamu kitu kimoja isipokuwa namna ya kukielezea ndio tunapotofautiana...

Sasa nimekuelewa una maana gani, pamoja mkuu...

Asante kwa kunielewa
 
usilete sababu eti kisa mweusi ndo tumshangilia, heri angekua mwafrika ila yeye ni mmarekani. M nasema mayweather atapigwa tu na akijifanya mbishi atapigwa tu kwa k.o mana hamna namna sasa anaringa sana.
 
Pacquiao Yupo live ESPN right now in a press conference na kwa maneno yake mwenyewe anakiri kuwa amepigwa kihalali sasa sijui mnataka nini.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi na si boxing
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom