Picha Mayweather vs manpac itakuwa hivi

Hamna game lisilo na mshindi..

Una uhakika?

Mathalani timu mbili A na B zikicheza mpira wa miguu na matokeo yakawa magoli 2 - 2, timu gani ni mshindi hapo?

Na vipi matokeo ya masumbwi ambayo jumla ya points za majaji hulingana kwa mabondia wote wawili, huwa kuna bondia hutangazwa mshindi?
 
Hata akipigwa..?

ndio.
haya mapambano huwa kunamikataba wanasaini.
Mayweather atachukua asilimia 60(dola milioni 180) na Pacquiao asilimia 40(dola milioni 120)ndio walivyokubaliana. Haijalishi nani kashinda.
 
Itakuwa aibu sana kwa Mayweather ikiwa atadundwa na Pac.
Hii ni kutokana na majigambo yake pamoja na kununua mouth guard ya bei mbaya.
 
Una uhakika?

Mathalani timu mbili A na B zikicheza mpira wa miguu na matokeo yakawa magoli 2 - 2, timu gani ni mshindi hapo?

Na vipi matokeo ya masumbwi ambayo jumla ya points za majaji hulingana kwa mabondia wote wawili, huwa kuna bondia hutangazwa mshindi?

Inategemea na competition gani na umuhimu wake kama linahesabu points au mshindi lazima apatikane hapo kama ni draw ya mpira watapewa extra time kama bado penalty shootout.
Kama masumbwi ikitokea points zipo sawa ambapo huwa ni nadra Sana baada ya pambano tu haraka wanarudishwa ulingoni na ikishindikana tena aliyekuwa na mkanda anarudi nao.
 
ndio.
haya mapambano huwa kunamikataba wanasaini.
Mayweather atachukua asilimia 60(dola milioni 180) na Pacquiao asilimia 40(dola milioni 120)ndio walivyokubaliana. Haijalishi nani kashinda.[/QUO

kuna hela za mshindi pembeni
 
Millard ayo nilimsikia alisema kuna kama 400$millioni kwa mayweather..
 
Inategemea na competition gani na umuhimu wake kama linahesabu points au mshindi lazima apatikane hapo kama ni draw ya mpira watapewa extra time kama bado penalty shootout.

Kumbe unajua katika michezo huwa kuna droo, sasa kwa nini mwanzoni ukanipinga kuwa hakuna game isiyo na mshindi?

Droo huwepo katika mechi isiyo involve any elimination na huesabika kama official results...

Kama masumbwi ikitokea points zipo sawa ambapo huwa ni nadra Sana baada ya pambano tu haraka wanarudishwa ulingoni na ikishindikana tena aliyekuwa na mkanda anarudi nao.

Hii kitu uliyoandika hapa huwa haifanywi katika proffesional boxing hata siku moja...

Points zikilingana inahesabika kama ni matokeo suluhu na huingia katika rekodi ya kila bondia...

Bondia ambaye hatakuwa ameridhika yaani kama alikuwa anawania mkanda then ataomba rematch ambayo itakuwa ni mechi mpya kabisa na siku tofauti...

Katika masumbwi ya ridhaa haswa kwenye elimination stages kama zile za commonwealth, olympics etc ndio huwa wanaongeza muda in case kuna mlingano wa points...

Hivyo usishangae nilivyoandika kuwa Pac na May wanaweza wakatoka droo...coz hiyo ni pro boxing na droo ni sehemu ya matokeo...
 
Hivi kwa sisi tunaotumia ving'amuzi vya startimes tutaona huu mtanange kupitia chanel gani? Nijuzeni wenzangu unaofahamu.

hii kitu mpala supersport tena kwa wenye package ya premium DSTV, other wise usubiri recorded video kwenye channel nyingine baada ya kuwa pambano limeishakwisha.
 
ndio.
haya mapambano huwa kunamikataba wanasaini.
Mayweather atachukua asilimia 60(dola milioni 180) na Pacquiao asilimia 40(dola milioni 120)ndio walivyokubaliana. Haijalishi nani kashinda.[/QUO

kuna hela za mshindi pembeni

inawezekana maana mi sio mfuatiliaji wa boxing ndio kwanza hii battle imefanya nimjue Mayweather hapo kabla nilikuwa siujui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom