Leo ni mwendo wa matusi tu!

haya tuanze matusi...
1.kuifananisha leicester city na chelsea ni matusi kwa leicester city

2.kufananisha wanaume wa dar na wanaume wa mikoani ni matusi kwa wanaume wa dar..

3.kuwafananisha wakongwe wa jf na makapuku ni matusi kwa........

4.kuwafananisha diamond na kiba ni matusi kwa diamond

5.kufananisha gongo na bia ni matusi kwa bia

6.kumfananisha afande sele na jay z ni matusi kwa jay z

7.kumfananisha gigy money na nick minaj ni matusi kwa nick minaj

8.kufananisha somalia na afrika kusini ni matusi kwa somalia

9.kufananisha hummer h2 na noah ni matusi kwa hummer

10.kuifananisha jf na blog nyingine bongo ni matusi kwa jf

ongezeni matusi mengine

Huna akili wewe! hivi huna kazi ya kufanya? mindset yako iko low
 
Chap chap sana yani....

Panua paja, mkwaja waja.

Ndororo si chururu..... all night long....!

All night long. .....Ooh yeah ......

Niko at ease nasubiria shoot kutoka kwa babu.

Kasie.
 
Ngoja niongeze mbio maana. ..baada ya kusoma hii taarifa yako genye imepanda mia...
Ewaaaa... inanisaidia kutokupoteza muda kutafuta utelezi wa kwa bibi. Ngoja nigonge grants ulimi upate joto... nadhani utakuwa umeelewa maana yake.

Kitu kwa bibi, huko midomo ikisemezana.... Hapo Mende chaliiii!!
 
Huna akili wewe! hivi huna kazi ya kufanya? mindset yako iko low
we ambae una kazi ya kufanya una magari mangapi? we ng'ombe nini we ambae mindset yako iko high umegundua nini zaidi ya wiki hii kuvizia mabasi ya uda ya bure uzulure nayo mji mzima huku ukisikilizia wapi watagama sukari ya bure iliyokamatwa
 
we ambae una kazi ya kufanya una magari mangapi? we ng'ombe nini we ambae mindset yako iko high umegundua nini zaidi ya wiki hii kuvizia mabasi ya uda ya bure uzulure nayo mji mzima huku ukisikilizia wapi watagama sukari ya bure iliyokamatwa
usimtusi mtusi matusi ya kutusi ukimtusi mtusi matusi ya kutusi mtusi atakutusi matusi ya kutusi
 
kupokea simu au kutuma msg kwa kidole gumba wewe ni shoga.


swissme
 
Screenshot_2016-03-30-15-46-29.png


swissme
 
Back
Top Bottom