Nani anawapa hawa jamaa vifaa !?

Ally Kombo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
11,429
2,645
attachment.php



.............. :confused2::confused2::confused2:
 

Attachments

  • IS Transport.jpg
    IS Transport.jpg
    38.2 KB · Views: 2,094
Hata mimi najiuliza sana hii kitu,yaani jamaa wako full hata kuzidi majeshi ya nchi mbalimbali,ajabu sana!
 
USA ndo wadhamini wakubwa wa pambano la Ugaidi duniani.
Kwao wao ndio mtaji wa vita na biashara itokanayo na vita nadhani unaijua.
Silaha za maangamizi na pia inawasaidia kuingia na kuiba rasilimali gesi na madini.
Wako strategic kwenye hiyo kitu.
 
hivi unaposkia wamechukua mji fulan ww unaelewaje?
mapato ya mji huo ndo wanachukua wao plus na wazamin wen waislam wanao tumia mali zao kwenye njia ya Allah
 
Wananunua kwa sheria za umoja wa kimataifa wauza siraha kote duniani hawana mipaka ya nani wanaamuuzi cha msingi kikundi chako au taasisi itambulike tu. Tena wanakuletea kwa ninavyo jua mm.
 
Duh
mshukuru mungu uko huru mpaka unaandika hapa jf na zidi kuwaombea wengine wapate amani ukiwa mtu wa mungu wa kweli haijarishi wewe ni mkristu au muislam huta penda kumuona hata adui wako anachinjwa au kuuwawa mbele yako mimi ni mkristo ila naumia nikiona au kusikia muislam kauliwa
 
Back
Top Bottom