Search results

  1. C

    Spika Dkt. Tulia Ackson: Mbeya Watanikumbuka Kwa Ujenzi wa Barabara Njia 4

    Maendeleo ya vitu (majengo na Barabara) ni lazima yafanyike tu maadamu kodi za wananchi zinaendelea kukusanywa, tusipoona maendeleo ya vitu basi tunatakiwa tuweke mgomo wa kulipa kodi, sasa mtuambie kipindi hicho magufuli ameitupa mbeya pesa zetu alimoatia nani maana alifanya makusudi ili...
  2. C

    Gari yangu Gx110 inakita kishindo wakati wa kutoka parking P kwenda kwenye D na R

    Naweza kukuamini maana fundi alicheki tu kwa macho hakufungua itabidi afungue hasa zile za diff maana mlio unatokea nyuma
  3. C

    Gari yangu Gx110 inakita kishindo wakati wa kutoka parking P kwenda kwenye D na R

    Ni kitu gani huko ya gear ndani ya gear box hupelekea mshituko huu ? Maana nikiwa kwenye mwendo haishituki inachanganya vizuri tu, samahani mimi ni mtu wa ku reason kabla sijachukua maamuzi, kuna fundi aliniambia itakuwa ni diff je anaweza kuwa sahihi?
  4. C

    Gari yangu Gx110 inakita kishindo wakati wa kutoka parking P kwenda kwenye D na R

    Habari wataalamu, Nina tatizo lina nisumbua kwenye gari yangu grande mark2 (gx110) na linaninyima raha kwakweli, wakati wa kutoka P kwenda D na R nasikia mkito unasikika sehemu ya nyuma, nilipeleka kwa fundi akabadili bushing zote za nyuma na CV joint (cross joint) pembeni ya diff lakini...
  5. C

    My Gx110 produces a loud clunk sound when i shift to drive(D) and reverse-R i need solution

    Mmh, hiki kishindo nakisikia tu saa ya kuhamisha gear kwenda drive na reverse lakini mwendo ukishaanza sisikii tena haijalishi speed ni kubwa au ndogo
  6. C

    My Gx110 produces a loud clunk sound when i shift to drive(D) and reverse-R i need solution

    Kwa mwenye ujuzi, gari yangu gx110 inatoa sauti ya kishindo wakati wa kuhamisha gear kwenda Drive na reverse, bushing zote za nyuma nimebadilisha pamoja na CV joint pembeni ya diff lakini naona shida haija kwisha sasa sijajua shida ni kitu gani maana fundi akiangalia mounting za differential na...
  7. C

    My Gx110 produces a loud clunk sound when i shift to drive(D) and reverse-R i need solution

    I have Grand mark ii gx110 produces a loud clunk when I shift from parking to reverse and drive , I have changed all the rear bushing and CV cross joint but still the problem persist I need your help please
  8. C

    Msaada, hii gari uki reverse kuna mlio wa kukita na ukiweka drive pia inakita hili ni tatzo gani?

    Mimi nina gx110 inakita sana, nimesha badilisha bushing zote za nyuma, nikibadidisha pia misalaba ya Cv joint pale pembeni ya differential, lakini tatizo bado lipo mounting zilichekiwa zipo vizuri ( japo aina hakika kama fundi alicheki sawasawa hasa za gear box maana mi mwenyewe niliingia...
Back
Top Bottom