Search results

  1. commited

    Uchaguzi 2020 Sasa hivi tupo CCM asili na CCM Mpya, hii CCM Mpya ni kikundi kidogo sana cha Bashiru, Polepole na wahamiaji toka upinzani

    Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa, wala si kufanya chama kisonge mbele hata kidogo Wale CCM...
  2. commited

    Uchaguzi 2020 CCM itashinda uchaguzi huu kwa kishindo kikuu kutoka kwa wananchi wa makundi haya

    Salaam Utafiti wangu mdogo unanionyesha kwamba CCM itashinda kwa kishindo sana kwenye uchaguzi huu, na kupata kura nyingi sana kutoka kwa makundi haya 1. Wale waathirika wa bomoa bomoa kimara (Zaidi ya familia 350 ziliathirika) na maeneo mengine ambao kesi zao bado zilikuwa mahakamani...
  3. commited

    Msaada: Cursor inaruka mbali nikipress enter katikati ya maneno

    WAKUU SALAMU Nina shida inanisumbua takribani wiki sasa nina PC HP, tatizo nililo nalo ni hili Nikiwa kwenye word document, nikitaka kuedit maneno, nikichukua cursor nikaweka katika ya maneno kisha nikipress enter kasa inahama mbali, hata kama nilikuwa MWANZO MWA MSTARI nikipress enter Cursor...
  4. commited

    MITSUBISHI CANTER INAHITAJIKA HARAKA

    WADAU SALAAMU MITSUBISHI CANTER INATAKIWA HARAKA SANA, PESA MKONONI ILIYOPO NI TSH 11 MILIONI KAMA UNAYO UNAWEZA NICHEKI
  5. commited

    Kuelekea oktoba 25, watanzania tumesahau shida zilizoletwa na CCM?

    Wakuu salamu, tarehe 25 oktoba tunakwenda kufanya uamuzi juu ya maisha yetu kama taifa, tunakwenda kuchagua muendelezo wa shida, rushwa, mateso, na dhiki AU mabadiliko ya ki mfumo yatakayotuletea maendeleo, uhuru na haki. Watanzania tumekuwa wasahaulifu kiasi hiki hata tukachague tena Shida na...
  6. commited

    Kama huyu anayeondoka alikuwa na kidigrii kimoja tu kauza kila kitu je huyu mwenye phd itakuwaje???

    huyu anayemaliza muda wake pale magogoni alikuwa na ki digriii kimoja tu na hapo udsm alipata ki gpa cha 2.2 yaani cha kinjentlomen alimaliza chuo kwa hisani tu ya vc-kada wa chama. sasa kama aliyekuwa na ka digrii kamoja, kaleta wachina, kauza gesi yetu, madini yetu, kauza mbunga, ardhi...
  7. commited

    Sababu 12 za mimi na familia yangu watu 5 na ndugu zangu 255 za kutoichagua CCM Oktoba 25, 2015

    1. Ccm kwa makusudi kabisa, waliamua kukataa maoni pendekezwa ya wananchi toka tume ya warioba ili kutengeneza katiba itakayokuwa msingi wa maisha ya watanzania zaidi ya milioni 50 kwa miaka 50 ijayo. Katiba itakayowajali watu wote, na kulinda utu na rasilimali zetu, katiba ambayo ingefanya...
  8. commited

    Sababu 12 za mimi na familia yangu watu 5 na ndugu zangu 255 za kutoichagua CCM Oktoba 25, 2015

    1. Ccm kwa makusudi kabisa, waliamua kukataa maoni pendekezwa ya wananchi toka tume ya warioba ili kutengeneza katiba itakayokuwa msingi wa maisha ya watanzania zaidi ya milioni 50 kwa miaka 50 ijayo. Katiba itakayowajali watu wote, na kulinda utu na rasilimali zetu, katiba ambayo ingefanya...
  9. commited

    Ccm ni laana imeua vipaji na maisha ya watanzania hawa...kama unaishabikia yatakufika

    ccm ni laana kwa kweli???? Ndiyo ni laana.. imeua vipaji vya wanasiasa na wanamuziki wengi sana, 1. mwami mkuu, nuru ya chama ya act, leo anaonekana kituko mbele ya jamii , alikuwa mashuhuri sana alipoaminiwa na wananchi kuwa hana ushirika na ccm. Mikutano yake ilijaa watu wa rika zoote...
  10. commited

    Baada ya Lowassa kuondoka CCM, je CCM imebaki safi na ya kuaminika?

    Lowasa amaeondoka ccm, kwa kadri alivyoona imemfaa Nauliza tu kwa sauti kubwa CCM SASA IMEBAKI SAFI NA YA KUAMINIKA BAADA YA LOWASA KUONDOKA??? Je huko ccm mchafu alikuwa Lowasa tu?????? Hawa watu baadhi kama 1.Ben,,,.. Kuuza viwanda vya watanzania na kujimilikisha kiwira ... Amehama ccm??Leo...
  11. commited

    Ccm wanagawa viberiti dodoma kama rushwa ili kuchaguliwa

    Ukistaajabu ya mussa... Ni hapo dodoma katika majimbo mbalimbali, ccm wanagawa viberiti bure vyenye sura za wagombea ubunge, mambo hayo yamekemewa sana leo na kamanda sumaye na lowasa akiwaasa takukuru kuchukua hatua stahiki kwa hakika hii ni hasara sana kama taifa, miaka hii bado watu...
  12. commited

    Yuko wapi prof issa shivji

    Wadau huyu prof kapotea, mwaka jana alikuja na tambo zake za kujifanya kufafanua muungano jmt huku akionyesha kupingana na ccm. Lakini gafla akapiga u-turn wakati wa bunge la katiba, kapotelea wapi huyu prof??/ ccm wamezimisha?? Au wamemlambisha ma euro, na usd kama babu wa mihogo?? Kwa kweli...
  13. commited

    Kampeni za urais za chama cha act vip?? Au act imekufa???

    Wadau heshima kwenu hawa wazalendo sijawaona tena mikoani tangu wazindue kampeni zao za urais zaidi ya wiki moja-dar, au wamekata tamaa kama pombe??, je mfadhili amesitisha misaada na sasa kahamishia nguvu kwa dr mihogo, na babu polepole?? Usaliti huwa ni laana ya milele, zzk alivuma sasa...
  14. commited

    Je, CCM imebaki safi baada ya kuondoka Lowassa?

    wakuu saalaamu naomba wale wana ccm wanijuze je ccm imebaki safi baada ya kuondoka lowassa?? Yaani huko ccm mchafu alikuwa lowassa tu. Kama kweli alikuwa mchafu huyu tu mbona hawamfikishi mahakamani hadi leo kama kweli alilitia taifa hasara??/ katika ile list of shame ya dr. Slaa, aliwataja...
  15. commited

    Vichwa vya habari vya magazeti ya kesho 5/09/2015

    1. Dr slaa-magufuli alihonga kimada nyumba ya serikali 2. Dr slaa-ntampigia kampeni magufuli 3. Dr slaa-ashindwa kujibu swali nani anadhamini vipindi vyake 4. Dr slaa- ni mimi niliwashawishi chadema kumleta lowasa 5. Dr slaa-niliwatelekeza watoto kwa kuwa ni wakubwa wameolewa 6. Dr...
  16. commited

    Je, UKAWA tusiposhinda urais 2015 na ubunge japo kwa 50%, plan B ni ipi?

    Wakuuu salamuu Tumeaminishwa na viongozi wetu wa UKAWA kuwa mwaka huu lazima ukawa tushinde urais na kumiliki bunge. Na hii yote imekuja baada ya kuaminishwa kuwa ujio wa lowasa umeongeza nguvu ya ushindi na idadi ya wapiga kura kwa ukawa imeongezeka, Sasa nauliza 1. Je isipotekea hiyo ahadi...
  17. commited

    Lowassa tunayemzungumzia leo ni nani? - Msikilize dr. Slaa

    Lowassa Tunayemzungumzia leo ni nani?? Karibu umsikilize DR. Slaa akimueleza Lowassa ni nani, sikiliza kwa makin kuanzia dakika ya 3:50 Karibu https://www.youtube.com/watch?t=225&v=SpRfcgqtCjM Watanzania tuwe makini mwaka huu, tukicheza tumeliwa tena miaka 5 mingine. Jiandikishe upige kura...
  18. commited

    Ratiba: Jiandikishe upige kura, acha kulalamika!

    1. Mikoa ya Mtwara na Lindi zoezi lilianza tarehe 24/4/2015 kumalizika 24/5/2015. 2. Mkoa wa Ruvuma uandikishaji ulianza tarehe 27/4/15 hadi 28/5/15. 3. Mkoa wa Iringa zoezi limeanza tarehe 29/4/2015 hadi 29/5/15. 4. Katavi zoezi limeanza tarehe 18/5/2015 hadi 17/6/2015. 5. Mbeya kuanza...
  19. commited

    Tume ya uchaguzi kusitisha uandikishaji kwa BVR

    Source itv tume ya uchaguzi inampango wa kusikitisha kuandiskisha tena watu kwa bvr, na sasa inaplan kutumia vitambulisho vya zamani.. Sasa iko wazi bvr haiwezekani tena,
  20. commited

    Njombe: Wafanyakazi wa Haki za Binaadamu wapigwa na Polisi

    Polisi walivamia hoteli ya neto walikofikia waangalizi hao wa haki za binaadamu, waliokuwa wakifuatilia uandikishaji wa wanachi katika daftari la wapiga kura. Kisa polisi waliokuwa na smg walivamia hoteli hiyo majira ya saa 4 usiku wakiwa na nguo za kiraia wakiwatuhumu waangalizi hao wa haki za...
Back
Top Bottom