Sababu 12 za mimi na familia yangu watu 5 na ndugu zangu 255 za kutoichagua CCM Oktoba 25, 2015

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,626
870
1. Ccm kwa makusudi kabisa, waliamua kukataa maoni pendekezwa ya wananchi toka tume ya warioba ili kutengeneza katiba itakayokuwa msingi wa maisha ya watanzania zaidi ya milioni 50 kwa miaka 50 ijayo. Katiba itakayowajali watu wote, na kulinda utu na rasilimali zetu, katiba ambayo ingefanya watawala wajue kuwa wamewekwa pale na wananchi. Tume ile waliyoiunda wenyewe ccm kupitia mkulu wa magogoni ikatumia zaidi ya bilioni 800 (zaidi ya vituo 400 bora kabisa vya afya vingeweza kujengwa kwa fedha hizi) kukusanya maoni ya watanzania. Lakini, hatimaye mchakato ule wakaukataa na wakapuuza maoni ya watu wake ambao leo wanawaomba tena kura.ccm walifuta tunu za taifa na dira ya taifa. Bunge feki la katiba limetumia zaidi ya bilioni 400 ambazo zingetumika kutengeneza madawati zaidi ya milioni 40, pesa hizo zote zaidi ya 1.2 trilioni zimeliwa bure kabisa, na hakuna wa kuwajibika , leo ccm hawana cha kuniambia tena.

2.ccm wametudanganya sana dhidi ya kufufua viwanda, hii ni ahadi ya tangu mwaka 2000, hata sasa magufuli anasema atafufua viwanda na kuifanya tanzania kuwa nchi ya viwanda,.... Wakati hata sasa umeme wa uhakika tu kwa matumizi ya kawaida kabisa haupo kwa zaidi ya 60% ya mikoa yoote...., kwa ukosefu wa umeme kwa sasa wafanya biashara wadodgo wadogo zaidi ya 2400 wako hali mbaya ya kufilisiwa na taasisi za kifedha.. Uongo huu sikubaliani nao tena 0ktoba 25 2015

3.. Ni chini ya sisiemu hiii hii nchini ya mzee mwinyi na mkapa, waliua viwanda zaidi ya 80 nchi nzima, zaidi ya watazania 250000 walipoteza ajira zao kwa sera mbovu kabisa...mpaka leo waliofanya ujinga ule wapo ccm, na wengine ndio makampeni meneja wa magufuli, halafu magufuli anasema atafungua mahakama ya mafisadi, wakati zaidi ya 98% ya watu waliofanya ufisadi mkubwa nchi hii bado wapo ccm ...... Huu ni ungo sikubaliani nao

4. Ni ccm hihi hii mwaka 2005 iliamua kuua reli ya kati kwa visingizio vya kijinga kabisa, eti kuna shida ya miundo mbinu kilosa (mafuriko) miaka 5 treni ilikuwa ikianzia dodoma na kuishia hapo watu wa dar na moro waliotaka kupanda treni walianzia safari dodoma, zaidi ya wafanyakzi 85 wa reli ya kati wa vituo vya moro na dar walipoteza ajira. Sababu kuu ya treni hiyo kuishia dodoma ilikuwa ni kutoa hisani kwa mfanya biashara mmoja mbunge ... Afanye biashara ya mabasi yake..... Huu ujinga siukubali tena

5.. Mwaka 2005 na mwaka 2010 jk alisema anamajina ya wala rushwa na wauza madawa ya kulevya woote na akasema atawashughulikia wotee.. Mapaka leo anaondoka rushwa imetamalaki kuanzia ngazi ya kijiji mpaka ikulu, na wauza madawa ya kulevya wamesababisha matatizo makubwa sana kwa vijana wa mtaani wengi wa vijana ni watumiaji na wabebaji wa madawa haya..... Mkulu wa mgogoni na mambo haya ya rushwa na madawa ya kulevya huwezi mtenganisha nayo.. Naamini hata magufuli akiingia hataweza jitenga nayo.... Byebye.. Ccm

6. Ni chini ya ccm hihii ya magufuli, wameamua kuua elimu yetu kabisa, watoto wanamaliza hawajui kusoma na kuandika, walimu hawana vitendea kazi, na maisha yao ni duni sana. Wameua elimu ili wao wakubwa wajenge shule zao na kuziita english medium, lengo ni kuleta matabaka kwa watanzania, sasa hivi kunamatabaka kila sehemu muhimu, anzia polisi, mahospitalini hadi mashuleni..., huna pesa umekufa au kupotza phaki yako. Huduma na ubora wake unaendana na kipato chako, huku ccm hao wakiwaambia watanzania kuwa nchi hii ni maskini, sasa kama nchi ni maskini kwanini mnaweka matabaka ya watu wa kipato na wasio nacho,,,,nchi ni tajiri sana ina kila rasilimali.. Ila maskini ni viongozi wa ccm ambao wanatumia rasilimali za nchi hii kujinufaisha.. Hivyo neno ccm kwangu ni najisi....

7. Ccm wameporomosha uchumi wa nchi, wamesababisha deni la taifa kufika zaidi ya trilioni 30 ambapo kila mtanzania anadaiwa zaidi ya laki 6, ccm wameshindwa kutengenza mazingira bora ya ajira kwa watu wake zaidi ya graduates 560,000 wapo mtaani hawana kazi za kufanya.... Siwezi endelea kuchagua mtu yeyote aliye chama hiki

8. Ccm wameuza rasilimali za nchi hii (madini, wanyama, ardhi) kwa wachina na mabeberu wa ulaya, bila kuwashirikisha wananchi, ref kadhia ya gesi mtwara.., mgodi wa yamongo (mto tegite), siwezi kuendelea kuchagua chama cha namna hii maana kitaweza kuuza wananchi wake

9.. Ccm ni baba wa uongo na mauaji ya raia wake wasio na hatia (ref: Mwangosi, mauaji zanzibar wana cuf 2001 etc)

10. Ccm ni baba wa ushirikana na uchawi... Marehemu shekhe yayhya aliwahi kusema raisi mweyekiti wa chama tawala na ikulu inalindwa na maruhani... Uchawi ni kazi za shetani, siwezi chagua watu wanaoamini mambo hayo

11. Ccm ni baba wa kuwagawa watanzani ki ukabila na udini, walianza waita chama cha cuf ni chama chawaislamu, wakaona haitoshi wakaanza waita chadema chama cha wakristo, sasa kama ni hivyo maana yake ccm ni chama cha mapagani na mashetani??/ maana wakristo wako chadema na waislamu wako cuf.... Siwezi chagua mtu wala mgombea wa ccm tena

12. Adui magonjwa mpaka leo hiini kero kwa wananchi, bado watu wanakufa kwa malaria na kipindupindu.. Watu hawana maji safi na salama wanaokufa kwa maradhi haya ni watu wa kawaida kabisa, viongozi wanashindwa kusambaza maji safi ya bomba vyanzo vya maji vipo karibukabisa na miji, lakini viongozi hao hao wa ccm wanamiliki makampuni ya kuuza maji kwa maroli. Leo zaidi ya miaka 50 huduma bora za afya bado ni tatizo, watu wanakufa kwa kukosa dawa mahospitalini, huduma mbovu kabisa, wamama 5 wanalala kitanda kimoja, pesa za escrow, meremeta na epa tu zingeweza kutosheleza madawa hospitali zoote kwa mwaka mzima. Ccm ni kuchague kwa lipi ena??/

13................................
14,............................

ccm kwa heri ya kuonana... Tangulia kuzimu kwa kuwa shetani amekupenda zaidi..nchi yetu ni tajiri, ila maskini ni viongozi walioko ccm, tunahitaji mtu atakayetumia rasilimali za taifa hili kwa manufaa na kwa maendeleo ya watu woote..

Tukutane oktoba 25 2015.
 
Asante! Ni kweli mko zaidi ya 255? Sis tuko 10 network yetu inaonesha tutakuwa 40.....

Ktk harakati zangu nimewafikia mamia ya watu...tutashinda.
 
Siku ya kupiga kura uwaite majina wasikutoroke hata mmoja
 
[font=verdan

a]1. Ccm kwa makusudi kabisa, waliamua kukataa maoni pendekezwa ya wananchi toka tume ya warioba ili kutengeneza katiba itakayokuwa msingi wa maisha ya watanzania zaidi ya milioni 50 kwa miaka 50 ijayo. Katiba itakayowajali watu wote, na kulinda utu na rasilimali zetu, katiba ambayo ingefanya watawala wajue kuwa wamewekwa pale na wananchi. Tume ile waliyoiunda wenyewe ccm kupitia mkulu wa magogoni ikatumia zaidi ya bilioni 800 (zaidi ya vituo 400 bora kabisa vya afya vingeweza kujengwa kwa fedha hizi) kukusanya maoni ya watanzania. Lakini, hatimaye mchakato ule wakaukataa na wakapuuza maoni ya watu wake ambao leo wanawaomba tena kura.ccm walifuta tunu za taifa na dira ya taifa. Bunge feki la katiba limetumia zaidi ya bilioni 400 ambazo zingetumika kutengeneza madawati zaidi ya milioni 40, pesa hizo zote zaidi ya 1.2 trilioni zimeliwa bure kabisa, na hakuna wa kuwajibika , leo ccm hawana cha kuniambia tena.

2.ccm wametudanganya sana dhidi ya kufufua viwanda, hii ni ahadi ya tangu mwaka 2000, hata sasa magufuli anasema atafufua viwanda na kuifanya tanzania kuwa nchi ya viwanda,.... Wakati hata sasa umeme wa uhakika tu kwa matumizi ya kawaida kabisa haupo kwa zaidi ya 60% ya mikoa yoote...., kwa ukosefu wa umeme kwa sasa wafanya biashara wadodgo wadogo zaidi ya 2400 wako hali mbaya ya kufilisiwa na taasisi za kifedha.. Uongo huu sikubaliani nao tena 0ktoba 25 2015

3.. Ni chini ya sisiemu hiii hii nchini ya mzee mwinyi na mkapa, waliua viwanda zaidi ya 80 nchi nzima, zaidi ya watazania 250000 walipoteza ajira zao kwa sera mbovu kabisa...mpaka leo waliofanya ujinga ule wapo ccm, na wengine ndio makampeni meneja wa magufuli, halafu magufuli anasema atafungua mahakama ya mafisadi, wakati zaidi ya 98% ya watu waliofanya ufisadi mkubwa nchi hii bado wapo ccm ...... Huu ni ungo sikubaliani nao

4. Ni ccm hihi hii mwaka 2005 iliamua kuua reli ya kati kwa visingizio vya kijinga kabisa, eti kuna shida ya miundo mbinu kilosa (mafuriko) miaka 5 treni ilikuwa ikianzia dodoma na kuishia hapo watu wa dar na moro waliotaka kupanda treni walianzia safari dodoma, zaidi ya wafanyakzi 85 wa reli ya kati wa vituo vya moro na dar walipoteza ajira. Sababu kuu ya treni hiyo kuishia dodoma ilikuwa ni kutoa hisani kwa mfanya biashara mmoja mbunge ... Afanye biashara ya mabasi yake..... Huu ujinga siukubali tena

5.. Mwaka 2005 na mwaka 2010 jk alisema anamajina ya wala rushwa na wauza madawa ya kulevya woote na akasema atawashughulikia wotee.. Mapaka leo anaondoka rushwa imetamalaki kuanzia ngazi ya kijiji mpaka ikulu, na wauza madawa ya kulevya wamesababisha matatizo makubwa sana kwa vijana wa mtaani wengi wa vijana ni watumiaji na wabebaji wa madawa haya..... Mkulu wa mgogoni na mambo haya ya rushwa na madawa ya kulevya huwezi mtenganisha nayo.. Naamini hata magufuli akiingia hataweza jitenga nayo.... Byebye.. Ccm

6. Ni chini ya ccm hihii ya magufuli, wameamua kuua elimu yetu kabisa, watoto wanamaliza hawajui kusoma na kuandika, walimu hawana vitendea kazi, na maisha yao ni duni sana. Wameua elimu ili wao wakubwa wajenge shule zao na kuziita english medium, lengo ni kuleta matabaka kwa watanzania, sasa hivi kunamatabaka kila sehemu muhimu, anzia polisi, mahospitalini hadi mashuleni..., huna pesa umekufa au kupotza phaki yako. Huduma na ubora wake unaendana na kipato chako, huku ccm hao wakiwaambia watanzania kuwa nchi hii ni maskini, sasa kama nchi ni maskini kwanini mnaweka matabaka ya watu wa kipato na wasio nacho,,,,nchi ni tajiri sana ina kila rasilimali.. Ila maskini ni viongozi wa ccm ambao wanatumia rasilimali za nchi hii kujinufaisha.. Hivyo neno ccm kwangu ni najisi....

7. Ccm wameporomosha uchumi wa nchi, wamesababisha deni la taifa kufika zaidi ya trilioni 30 ambapo kila mtanzania anadaiwa zaidi ya laki 6, ccm wameshindwa kutengenza mazingira bora ya ajira kwa watu wake zaidi ya graduates 560,000 wapo mtaani hawana kazi za kufanya.... Siwezi endelea kuchagua mtu yeyote aliye chama hiki

8. Ccm wameuza rasilimali za nchi hii (madini, wanyama, ardhi) kwa wachina na mabeberu wa ulaya, bila kuwashirikisha wananchi, ref kadhia ya gesi mtwara.., mgodi wa yamongo (mto tegite), siwezi kuendelea kuchagua chama cha namna hii maana kitaweza kuuza wananchi wake

9.. Ccm ni baba wa uongo na mauaji ya raia wake wasio na hatia (ref: Mwangosi, mauaji zanzibar wana cuf 2001 etc)

10. Ccm ni baba wa ushirikana na uchawi... Marehemu shekhe yayhya aliwahi kusema raisi mweyekiti wa chama tawala na ikulu inalindwa na maruhani... Uchawi ni kazi za shetani, siwezi chagua watu wanaoamini mambo hayo

11. Ccm ni baba wa kuwagawa watanzani ki ukabila na udini, walianza waita chama cha cuf ni chama chawaislamu, wakaona haitoshi wakaanza waita chadema chama cha wakristo, sasa kama ni hivyo maana yake ccm ni chama cha mapagani na mashetani??/ maana wakristo wako chadema na waislamu wako cuf.... Siwezi chagua mtu wala mgombea wa ccm tena

12. Adui magonjwa mpaka leo hiini kero kwa wananchi, bado watu wanakufa kwa malaria na kipindupindu.. Watu hawana maji safi na salama wanaokufa kwa maradhi haya ni watu wa kawaida kabisa, viongozi wanashindwa kusambaza maji safi ya bomba vyanzo vya maji vipo karibukabisa na miji, lakini viongozi hao hao wa ccm wanamiliki makampuni ya kuuza maji kwa maroli. Leo zaidi ya miaka 50 huduma bora za afya bado ni tatizo, watu wanakufa kwa kukosa dawa mahospitalini, huduma mbovu kabisa, wamama 5 wanalala kitanda kimoja, pesa za escrow, meremeta na epa tu zingeweza kutosheleza madawa hospitali zoote kwa mwaka mzima. Ccm ni kuchague kwa lipi ena??/

13................................
14,............................

ccm kwa heri ya kuonana... Tangulia kuzimu kwa kuwa shetani amekupenda zaidi..nchi yetu ni tajiri, ila maskini ni viongozi walioko ccm, tunahitaji mtu atakayetumia rasilimali za taifa hili kwa manufaa na kwa maendeleo ya watu woote..

Tukutane oktoba 25 2015.
[/font]
.... Nakuunga mikono na miguu CCM kwaheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom