Search results

  1. Mtani wa Taifa

    Azam FC vs Simba Sc | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

    Kila la kheri timu yoyote inayokutana na kolo fc
  2. Mtani wa Taifa

    Kambi ya Jeshi Gongo la Mboto ihamishwe kijengwe kituo cha basi

    Kila kambi ni mwendo wa frames tu mwisho liitwe Jeshi la Fremu Tanzania
  3. Mtani wa Taifa

    Manager wa TRA Handeni mjini ni tatizo

    Nyie si ndio tunawategemea kwa uchawi huko mpaka tunakujaga kununua sasa vipi mnalalamika tena kwa case ndogo kama hii, vipi mabusha yameisha stoo?
  4. Mtani wa Taifa

    Gari tatu (3) za Toyota ambazo Design yake ilikua from Future

    Zote mbaya ila hawamkuti Toyota BB, gari imekaa kama kabati
  5. Mtani wa Taifa

    Balozi wa Marekani, Michael A. Battle atembelea ofisi za JamiiForums

    Huyo shangazi aliyevaa sketi ya mwanae ndio ananipigaga ban?
  6. Mtani wa Taifa

    Rasmi harakati za kuijenga Simba upya zaanza.

    Katika kitu nilifurahi backdays ni kushuka daraja kwa lipuli ya Iringa, mwaka huu nafurahia kushuka daraja kwa Mtibwa sukari.
  7. Mtani wa Taifa

    Chechefu mahakamani tena

    Nikija kuomba mkopo bank ukianza kuniwekea vikwazo ili nikupe rushwa ntakupa kweli rushwa ila nami ntaandaa mazingira ya kukumiza mahali hasa kwenye marejesho. Maafisa wa bank acheni kuomba rushwa kwa wateja wenu.
  8. Mtani wa Taifa

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Pole sana mkuu, yote ni mapito na ni mitihani ya kutufanya tushukuru na kufurahia uhai tulionao
  9. Mtani wa Taifa

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Umesoma chuo cha biblia au cha mashahidi wa jehovs, marks za bure kisa kuumwa, dah chuo chenu kilikuwa kizuri.
  10. Mtani wa Taifa

    Mafuriko makubwa mjini Ifakara leo Mei 5

    Kumbe unaujua mto Mkondoa mkuu, ukimwaga maji yake basi watu wa kata za Magomeni na Tindiga wanakua kisiwani kwa muda.
  11. Mtani wa Taifa

    Mke wangu amekosa choo kwa siku saba, nisaidieni

    Mlete nyumbani nikusaidie nina kifaa nikimuingiza matakoni huko atakunya muda huohuo
  12. Mtani wa Taifa

    Computer4Sale Laptop aina ya Lenovo inauzwa

    IENOVO ndio pc gani tena au mchina huyo wa kariakoo
  13. Mtani wa Taifa

    TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

    Baloteli zilitamba kidogo ila naona hakua mjanja biashara ya huko ikamshinda
  14. Mtani wa Taifa

    FURSA YA BIASHARA.....

    Weka kwanza hapa kibali cha kuingiza hayo mafuta kisha uje pm nikutumie milioni 100 ufanye biashara.
  15. Mtani wa Taifa

    TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

    Barabara ya Rudewa kwenda Kimamba hadi leo haina lami mkuu
  16. Mtani wa Taifa

    TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

    Mustafa Haidi Makunganya Mkulo (born 26 September 1946) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kilosa constituency 2005–2015. He died on 3 May 2024.
  17. Mtani wa Taifa

    TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

    Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili. Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana. Mungu amlaze mahali pema...
  18. Mtani wa Taifa

    Bendera za Tanganyika zinapatikana wapi?

    Vituo vyote vya polisi zinapatikana
Back
Top Bottom