Yaani kama mchezaji ni wako mbwembwe za nini hasa??
Kwani nini kiliwafanya mumpeleke mkoponi?
Yeah kila lenye kheri kwao
Kama.sio.mchawi,basi wewe una vimelea vyake.Katika kitu nilifurahi backdays ni kushuka daraja kwa lipuli ya Iringa, mwaka huu nafurahia kushuka daraja kwa Mtibwa sukari.
Kwani hawawezi kuwa chuo cha soka huko ligi daraja la kwanza? Timu inacheza playoff miaka 3 bado unataka tu ibaki premier league.Kama.sio.mchawi,basi wewe una vimelea vyake.
Ni aibu kwa moenda Soka kuiombea mabaya Mtibwa...Kwa miaka karibu 30 imekuwa ni Chuo Cha.Soka Tz! Hatjuhitajintimu.kama Singida....au Ihefu !