Search results

  1. Brother James

    Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Salaam Alleykhum, Wadau kwa kutumia uzoefu wenu, nishaurini nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12 nilionao ili kila mwisho wa mwezi at least nipate Net profit ya milioni mbili. Nipo tayari kufanya biashara katika mkoa wowote Tanzania au hata kama ni importation business kama...
  2. Brother James

    Bodi ya mikopo (heslb) na yaliyo nyuma ya pazia, tahadhari kwa wanufaika

    Habari Wadau, Ninaweza kuanza kwa kusema kwa sasa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya juu (HESLB) wajipachika majukumu ya ukukusanyaji wa mikopo kutoka kwa wanufaika wake kwa kuwaibia walipaji na kukiuka sheria za mikataba ya mikopo husika. Jana tarehe 04.07.2018 nilitembelea banda la Bodi ya...
  3. Brother James

    Applications for admissions into diploma and certificate programmes for the academic year 2018/2019

    RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY (RUCU) FORMER RUAHA UNIVERSITY COLLEGE (RUCO) IRINGA APPLICATIONS FOR ADMISSIONS INTO DIPLOMA AND CERTIFICATE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2018/2019. Ruaha Catholic University (RUCU) former Ruaha University College (RUCO)-Iringa invites applications from...
  4. Brother James

    Ajira - NACTE leo 19.05.2018

    EMPLOYMENT OPPORTUNITY National Council for Technical Education (NACTE) was established by the National Council for Technical Education Act, Cap. 129 (No. 9 of 1997). The Council is a body corporate with a legal mandate of coordinating provision of technical education and training. The Council...
  5. Brother James

    Ajira St.John university - Dodoma

    Wana Jamii Forum, Chuo Kikuu cha St. John ( St. John University) wametangaza ajira za kitaaluma (academicians) katika fani mbali mbali. Pakua kiambatisho (link: http://www.sjut.ac.tz/images/announcement-pdf/Job_Advert_FaNAS.pdf) kuona nafasi husika. Kwa watakao shindwakuingia kwa link hiyo...
  6. Brother James

    RTO Simiyu ananyanyasa waendesha bajaji

    Barriadi, Simiyu. Ni wiki ya tatu sasa tangu niingie Bariadi, kitu kimojawapo nilichogundua (katika shughuli zangu za utafiti) ni uwepo wa uvunjifu mkubwa wa sheria za barabarani hapa Bariadi ambapo ni makao makuu ya mkoa wa Simiyu tena unaofanywa na Traffic Officers. Mji wa Bariadi una vyombo...
  7. Brother James

    Nauza line za M-pesa

    Nina line ya biashara ya mpesa na kwa mtu yeyote atakaye hitaji kuuziwa tuwasiliane. Nikikuuzia nitakupatia line zote mbili za m-pesa na kukupa mafunzo jinsi ya kutumia m-pesa kwa atakaye hitaji. Kutokana na kukua mtaji mimi nimenunua machine za kuuzia mpesa,luku,airtel money,tigopesa,na malipo...
  8. Brother James

    BoT watoa scholarships kwa undergraduate & postgraduate 2014/2015

    Kwa heshima ya Mwl. Nyerere, Benki Kuu ya Tanzania(BOT) wametoa fursa kwa watanzania wanne (4) kwa ngazi ya undergraduate na watanzania wawili (2) kwa ngazi ya postgraduate/Masters kuwasomesha bure (scholarships) endapo watakidhi vigezo walivyoweka. Scholarships hizi wamezipa jina la Mwl. Julius...
  9. Brother James

    Ajira za Itilima-Simiyu

    Wana jamvi, naomba msaada wa kujibiwa maswali yafuatayo hapo chini: UTANGULIZI: Kijana wangu kapangwa ajira ya ualimu wa sekondari ktk Halmashauri ya Itilima, mkoa mpya wa SIMIYU, kwa uzalendo wa hali ya juu nimemshauri aende akafanye kazi kwani Tanzania ni yetu sote na ajira ni popote...
  10. Brother James

    Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

    Wanajamvi, kiambatisho kilichoambatishwa ni majina ya ajira za Ualimu kwa mwaka 2014 kwa wahitimu ngazi ya shahada ya elimu (Degree level) na Mikoa na Halmashauri walizopangwa. Niwape hongera wooote waliopata ajira ngazi hii. Kwa wale wahitimu wa Stashahada (Diploma) na wale wahitimu wa...
  11. Brother James

    Serikali yatangaza Ajira mpya za Walimu 2014

    Naona neema kwa walimu zaanza kuonekana mwaka huu 2014, hizi ni ajira kwa ajili ya waliohitimu Daraja IIIA, Stashahada za Ualimu na Shahada za Ualimu. SOURCE: GAZETI LA UHURU
  12. Brother James

    Udom prospectus 2013/2014

    Wana JF, Ninapenda niwaombe kwa heshima na taadhima kuwa kama mtakuwa mmeona au kusikia prospectus ya #UDOM ya mwaka wa masomo wa 2013/2014 tafadhali nirushieni kwenye hii thread au kwenye private email:(james.tanzania@yahoo.co.uk) kwani kuna mambo mengi sana nataka niyachambue kulingana na...
  13. Brother James

    Picha ya marehemu mwanamziki langa aliyefariki hivi punde leo hii

    Huyu ndiye marehemu langa mzee wa hip hop.......r.i.p bro
  14. Brother James

    Maombi ya ualimu vyuo vya serikali yafunguliwa rasmi mwisho 28.06.2013

    Hii ni taarifa Kwa wale ndg zangu wooote waliokuwa wakisubiri fursa za kuomba nafasi za mafunzo ya Ualimu Kwa ngazi ya A-Stashahada (Certificate) na Shahada (Diploma) hususani katika vyuo vya Ualimu vya Serikali (34) kuwa rasmi katibu Mkuu Wizara ya Elimu anakaribisha waombaji woote waliomaliza...
  15. Brother James

    Waomba mikopo heslb 2013/14 wote watapata mikopo kwa 100%

    Leo HESLB wametoa taarifa kwa Umma juu ya idadi ya waombaji wa mikopo kama ilivyoandikwa hapa chini: UTANGULIZI: Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawafahamisha waombaji wa mikopo kwa mara ya kwanza, Wanafunzi wanaondelea na masomo na Umma kwa ujumla kwamba mchakato wa maombi...
  16. Brother James

    Kwa idadi hii ya waomba mikopo heslb 2013/14 wote watapata kwa 100%

    Leo HESLB wametoa taarifa kwa Umma juu ya idadi ya waombaji wa mikopo kama ilivyoandikwa chini: 1.0 UTANGULIZIBodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawafahamisha waombaji wa mikopo kwa mara ya kwanza, Wanafunzi wanaondelea na masomo na Umma kwa ujumla kwamba mchakato wa maombi...
  17. Brother James

    Kwa idadi hii ya waomba mikopo heslb 2013/14 wote watapata kwa 100%

    Leo HESLB wametoa taarifa kwa Umma juu ya idadi ya waombaji wa mikopo kama ilivyoandikwa chini: 1.0 UTANGULIZI Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawafahamisha waombaji wa mikopo kwa mara ya kwanza, Wanafunzi wanaondelea na masomo na Umma kwa ujumla kwamba mchakato wa...
  18. Brother James

    Kuhusu bam & gs ktk mtaala wetu wa elimu ya a-level

    Wana JF, mmewahi kufikiria kuhusu wanafunzi wetu wa A-Level wanavyopotezewa muda wao juu ya masomo ya Basic Applied Mathematics (BAM) na General Study (GS)??? Kwa mchango mkubwa wa masomo haya mawili kwa wanafunzi wetu wa A-Level nilidhani labda mtaala wa kitanzania ungeweza kuthamini michango...
  19. Brother James

    Maombi mapya ya mafunzo ya ualimu kwa diploma na certificate 2013/14

    Ndugu Wahitimu kidato cha Sita na kidato cha nne 2012 ambao matokeo yao wametoka kuanzia tarehe. 30.05.2013, Nimepata taarifa hivi punde tu toka Wizarani Makao Makuu Idara ya Elimu ya Ualimu kuwa muda wowote kuanzia wiki ijayo Wizara ya Elimu kupitia website yake itatangaza nafasi za masomo...
  20. Brother James

    Computer science v/s computer engineering

    Nilikuwa napita pita katika TCU website hususani katika kitabu cha sifa za kudahiliwa katika fani fulani na kuangalia sifa za vyuo mbali mbali za kuingilia katika fani mbali mbali. Nimekutana na sifa za kuingilia fani za za BSc. Computer Science na BSc. Computer Engineering lakini nilichokiona...
Back
Top Bottom